Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Brother hata ukielewa maana yake haitakuwa na maana yoyote cha msingi Omba kwa Mungu akuponye na huo utesi na pia endelea kumpenda mpenzi wako sana maana Mungu anaweza yote na ktk kila jambo Yeye ni mshindi zaidi ya kushinda na zaidi ya huo uchawi na Uganga wa Kienyeji! Weka Imani yako kwa Mungu na Yeye atafanya,na sisi members let pray together with our loved one!
Asa akiendelea kumpenda zaidi si atakuwa na hofu kuwa amerogwa nadhani apate suruhisho kamili kurogwa kubaya sana yani wasichana sijui wamekuwaje kidogo tu anataka akuroge watu wenyewe hatuna kitu na wanataka waturoge tena si ndio kupotezeana ramani kabisa
 
Mpige mashine...ki ukweli...akisha anza kupagawa..agusha ka mkoba..jifanye na wewe umepagawa..alafu vimwage vyote kwa bed..baada ya game lazima ataanza kukupa somo lote. Husisahau ku rekodi utuletee mrejesho.
 
I promise,nimuhoji kwa utulivu sana,nitakapotulia,na nitarekodi bila yeye kujua,then nitaileta hapa,ili kupata picha halisi ya kilichotokea,pengine nitapata ushauri bora zaidi baada ta kumsikiliza!!!
 
Sio lugha ya kiarabu hyo kka. Ni lugha za kiuganga hxo
Hakuna lugha ya kiuganga hapo ni lugha ya kitapeli. Basi chukua hii ٦٦٦شسلب من ىىىى غب chukua hiyo kaingie Magogoni ukifika mzee atakupa Dar RC kuanzia mlangoni.

Utaenda?
 
Ni mrangi wa kondoa!!
Hao ni asiri yao,tena ukisema umuache inabidi upate maombi ya nguvu au duwa la nguvu kutka imani yako,kuna shemeji yng mmoja tumeshamzika huu ni mwaka wa 2 coz ni nwanamke wa kirangi,huyo mama alikua mtata sana na hakuwai kuzaa,na alihishi nae miaka zaidi ya 10,shem alipotaka kuoa mwanamke mwingine hili amzalie japo mtoto na iman yake inaruhusu kuwa na wake 2,hilo likawa kosa ghafra kafa.si utani ni ukweli kbs wanawake wa kirangi punguzeni ushilikina,yapo makabula wanawake wao ni washilikina sana japo si wote lakini km % ni 90 kwa 10% nayo ni~
~warangi
~Wasambaa haswa muheza na handeni
~wamachinga
~wanyamwezi japo si sana
~Waruguru wa matombo.
Fanyeni utafiti kwa wanaume walio howa wanawake wa makabila hayo utawaona walivyo na upore uliopitiliza (uzoba) sina nia ya kuanzisha fujo huo ni ukwrli,utafiti unapingwa kwa utafiti.thanx

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Duuh,mkuu umeniogopesha lakini kwa uweza wa Mungu aliye hai katu sitadhurika,siamini kama ana nguvu zaidi ya Jina la YESU kristo aliye hai!!!
 
Akimpigia simu mtu wake itakuwaje.ok cha msingi mchane ukweli mwambie hau mind mambo ya kijinga kama hayo then enderea nae

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Yupo safari,tangu wiki iliyopita,na nilikituka hicho kidude yeye akiwa hayupo,nimeona kuongea naye kwa simu jambo zito kama hili sio sawa,nasubiri aje niongee naye physically nikiwa nasoma na facial expression yake!!!
 
Back
Top Bottom