tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Nina bahati mie
Wanausalama wapo, wangeitoa fasta, isije likawa bomu. Hiyo ni simu yake ati. Tena hapo ni ikulu.... Ndo ikulu ya magufuliSiyo simu yake hiyo ni ya mdada fundi aliyempisha kwenye hiyo mashine
Usibishe kitu usichojikuaWanausalama wapo, wangeitoa fasta, isije likawa bomu. Hiyo ni simu yake ati. Tena hapo ni ikulu.... Ndo ikulu ya magufuli
Ulikuwepo eneo la tukio? we si uko Namtumbo, mambo ya Dar utayajuaje?Usibishe kitu usichojikua
Ulikuwepo eneo la tukio? we si uko Namtumbo, mambo ya Dar utayajuaje?
Asante sanaHaya mkuu, Karibu Namtumbo!
Ama kweli raia tunayeView attachment 318309
Nina bahati mie
alikwenda internate cafeHiyo ndio alitumia kumtumia email Dr Kigoda kabla hajaingia ICU India?
maana yake hapa kazi tu.saa na simu haviendani