Nimeiyona simu ya rais magufuli jamani !

Nimeiyona simu ya rais magufuli jamani !

Unaweza kuiona hivyo lakini ikawa na kila kitu kilichopo kwenye Iphone. Hahaaaaa
 
Angalia clip you tube ndipo utajua kuwa siyo simu yake ni ya Dada wa kushona
 
Hiyo saa mkononi (Rado) si mchezo
 
Kwa hiyo nikimpigia na iPhone 6S+, yangu atapokea na hiyo??.
 
Aisee jf ni wafukunyungu! Yaani mtuu kakomalia mpk kapata cha kupost!😉
 
Back
Top Bottom