Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

Dah in maana wakubwa member humu ndani hatuna ushirikiano tena????? toka jana naomba mtu ambaye ameenda kufanya registration anipm namba yake.. at least nimuulize mawili matatu. Issue ni kwamba niko mbali na nahitaji nisafiri. NA maamuzi hayo yatategemea na ushirikiano wa member.. Please naomba aliyeenda aniPM namba yake sasa hivi nina muda wa saa 1 tuu kafanya maamuzi.
 

masikin akipata...
 

my dear jana nilimsindikiza rafiki yangu pale kweli wanaregister just fanya maamuzi ya kuja kujaribu bahati yako. Weka number yako nikupigie.Best of luck
 


Duh! hii kali sasa..
 
 
jamani naona nssf wanaleta fujo wamenitumia msg kama tatu leo moja wanasema 12 PM ningine 4PM na nyingine 8.OO AM saa za kufanya hiyo test.
 
jamani naona nssf wanaleta fujo wamenitumia msg kama tatu leo moja wanasema 12 PM nyingine 4PM na nyingine 8.OO AM saa za kufanya hiyo test.
 
jamani naona nssf wanaleta fujo wamenitumia msg kama tatu leo moja wanasema 12 PM nyingine 4PM na nyingine 8.OO AM saa za kufanya hiyo test.
Inawezekana umeomba kazi tatu tofauti ndio maana umetumiwa sms zenye saa tofauti. Nikiangalia hizo saa inaonekana wewe umeomba Assistant Accountant, Accountant na Finance Officer. mwanzo walitaka watu wote wafike saa sita mchana, lakini nadhani walipoona turnup ya watu kwenye registration kuwa ni kubwa wakaamua kila kundi waje muda tofauti. Nadhani ni hivyo mkuu
 
Hofu ondoa,watu wote wameitwa kwa sms,tena mimi nimetumiwa sms zaidi ya 2 baada ya kuwa nimejiregister! Pamoja na kwamba sisi sio wa uzao wa Ismael twende tukajaribu huenda tukabahatika na uisaka wetu!
 

procurement wao wanafanya muda gani? Nilishafanya hyo registration ila sijatumiwa hyo sms ya muda kubadilika.
 
mimi mwenyewe wadau nimetumiwa sasa hv na nipo morogoro,halafu wamesema kwanza lazima ujisajiri leo mwisho saa kumi jioni leoleo kujisajili then ndo kesho ukafanye hyo testi yao,nachojiuliza why wasingetuma mapema kwani wanadai kujisajii kulianza tokea tar 27 mwezi huu na mm ndo wananipa taarifa sasa hv na cpo dar,huu c ni ubabaishaji huu wadauuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…