Nimeitwa Interview sehemu mbili muda mmoja

Nimeitwa Interview sehemu mbili muda mmoja

Wakuu asanteni Kwa michango yenu...

I'm sick and tired.
 
ndoroboooooooo i have been working na NGOs tofauti hapa TZ it is very common sasa sijui una refer hapa kwetu wapi? au una maanisha za serikalini?
Wengine Wanapayukwa tu maneno 'hapa kwetu' alikuwa anamaanisha nyumbani kwao
 
Hapo ndo utajua kuna muda baba wa Israel (yakobo) alipata kuunda taifa la Israel kwa kumdanganya Babaake....uongo hapo unahitajika....
 
Hapo ndo utajua kuna muda baba wa Israel (yakobo) alipata kuunda taifa la Israel kwa kumdanganya Babaake....uongo hapo unahitajika....
Mkuu nimetunga uongo huo.. Mungu anisamehe na aniongoze nijue wapi ni pangu
 
Back
Top Bottom