Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
Dampo gani mwaya nikaiiokote nikamvalishe demu wangu na mimi? ila na wewe hizo ni busara au matope? sasa kama mngekuwa mmeshazaa ndio ungewanyonga watoto au ungefanayeje? Nadhani ulitumia masaburi kufikia uamuzi wako
Kuyaanika hapa hayo ya kutupa ring lengo lako ni nini?
Tukuombe ukaiokote au tuanze kulia?
kuwa muwazi unataka nini?
kwa heri, ntarudi tena baadaye kuona watu wameweza kuchangia nini.........
Mbona alipokuvisha hukutualika jamani shemeji muasi? wenzio wanalilia hizo pete hata za kujinunulia wenyewe halafu wewe umvishe tu hawawaoni, umemtukana mamba kabla ya kuvuka mto mama, hako kajamaa kanako kudanganya na gari ungejua si lake ni la jamaa yuko nje ya nchi kikazi ndio kamwachia kwa muda, usitake kuwafanya wanawake waonekane viumbe dhaifu kwa hasira zako na tamaa zako, kumbe ni pete ya thamani halafu umeitupa, kweli una akili wewe?
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
Kama ulikuwa hujui pete ya uchumba huwa ina laana,yaani hapo maana yake umejitoa thamani,kila mtu atakuona kama takataka la kwenye hilo dampo ulioitupa.SUBIRI MAJIBU YAKE SASA.
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.