Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,316
- 840
Jumatatu ya wiki lililoisha nilienda tafuta TIN namba TRA ila wakanambia hadi niwe na Leseni ya biashara from manispaa, jumatano nikafanikiwa kuipeleka nilikutana na jamaa fulani TRA akaanza nifanyia makisio nakunambia biashara yaku inaangukia kwenye 212, 000 kwa mwaka ila km naweza pitia mlango wa nyuma nitawekwa kwenye 100, 000/= kwa mwaka.
Ila hiyo nitatakiwa kuwa nayo yote kwa muda huo niwape waniweke kundi hilo then makusanyo hayo watakuwa wanaijia wenyewe binafsi kwa instalment 4, kwa vile sikua na hela yakutosha kulipa elf 53, 000/= halali ili nipate TIN kwa siku hyo niliimba nae anihurumie nimtoe 50/= hyo 50/= nyingne next monday. Akakubali baada yakuamini kweli sina hela, nikamtoa hyo 50/= nikamtoa hiyo tukamalza nikasepa japo Cheti ikawa ngum kwa cku hyo coz time ilikua imeenda sana nikaahidiwa kesho yake jumanne nikaendea.
Ila nilipokua kitaa nikawaulzia wenye experience zao wakanambia ulipaswa kuangukia hapohapo kwenye lak 1 kwa mwaka nikagundua nimepigwa nikaumia sana sikukubali ikabidi nimchek hewani yule jamaa nikamwambia arudishe ile hela akataka leta ukahidi nikamkuta ofisini kwake hatimae akairudisha nzimanzima kama ilivyo nakujikuta sijalipa hata mia TRA kupata TIN.
MY Take:
Nini hatima yake because kachukia hatare yule jamaa.