Nimeirudia Rushwa Niliyotoa TRA

Nimeirudia Rushwa Niliyotoa TRA

Umetudanganya mkuu.leseni huwez kupata bila tin namba.kuhusu huyo mwiz.hata ww ni mkosaji what if ungekataa proposal yake.ulipe kodi ya halali?na wewe sio mzalendo basi
 
Najua amekupa namba ya simu kama kweli unataka kupambana na rushwa kweli weka hapa namba yake tumlipue fasta kwa mkurugenzi wao.
 
Kweli Mastermind ndio umeamua kuja kunichoma huku Jf kweli?ama kweli shukurani ya Punda mateke,mimi si nilikwambia ufuate utaratibu ukasema kuwa una haraka sana ndio nikakwambia toa kitu kidogo cha kuvunja utaratibu ukakubali ndio ukanipa hiyo 50elfu kwa ajili ya lunch. Sasa tutaona hili swala nitalifikisha kwa wenzangu halafu tuone hiyo Biashara yako kama itafanikiwa na lazima tukupige Rungu la kukwepa kulipa kodi na kukataa kutumia FED.
Yaani nakueleza nilikuhurumia sana siku naiijia rushwa yangu vinginevyo ningekurudisha kijijini cku hiyohiyo na kwanza hukujua km nakutega2,,,
na tena tambua nafasi uliyonayo kuna wengi sana wanaitamani sasa endelea,,,na j3 nakuja hapo
 
Umetudanganya mkuu.leseni huwez kupata bila tin namba.kuhusu huyo mwiz.hata ww ni mkosaji what if ungekataa proposal yake.ulipe kodi ya halali?na wewe sio mzalendo basi
Ucwe km masabuli,,, nimekueleza kupata Leseni niliambiwa kufatilia kwanza TIN #,, huko kwenye TIN # ndo yakatokea hayo mbona unafikiria kwa ma------,,
 
Back
Top Bottom