haiwezi kua spain hiyo mkuu,must be one of eastern european contries,wacha atuelezedadadeki,spain hiyo?.nice view bulldog.umetumia camera gani mkuu.mana mimi ni mlevi wa canon.hapa nilipo nina canon EOS 5D mark iii,picha yake ni hatari.
haiwezi kua spain hiyo mkuu,must be one of eastern european contries,wacha atueleze
Sisi tulioko vijijini kwenye nyumba za matope tunajionea Nyota tu.
Lkn Mtu kwao!
Asikudanganye mtu ndugu muefeso.
Nilikwambia mkuu naona jibu tumeshalipata nilikua sawasawa mkuu ngoja tumsubiri.
Nimetumia Nokia Lumia mkuu. Camera kubwa naona mzigo
5D sio camera kubwa mkuu,it's just a hand held camera for professional/ amateur photographers.ila kama utaongeza lens kwa mbele, inaweza kuwa kubwa kama bunduki vile.inategemea na mahitaji yako ya uchukuaji picha.