Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Shikamoo bro, habr ya siku nyingi? Msuya hajambo????/

Half bro Sumbawanga ni kuzuri kuliko Mkuranga, karibu huku ule bata
nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?

aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
 
Mgawanyo wa kazi usikufanye kuwa na dharau, kama yeye mwalimu wa nursary wewe inakuhusu nini? Kwa taarifa yako hata wenye elimu na kazi nzuri wapo hapa na huo uchawi unaoongelea ni mawazo ya kizamani, inamaana wewe bado una fikra za miaka ya 70, OK Mimi Nina masters nafanya kazi hapa Sumbawanga, wewe una elimu gani na unafanya kazi wapi kusikowachawi? Don't be ignorant!

Mshangae na wewe manake Hata hapa kibaha uchawi upo, mvomero pia uchawi upo, hata bombambili achilia mbali msoga
 
Mwalimu... Naomba nielekeze sehemu wanalima kitunguu swaumu hapo Swanga
 
eti mkoa wa sumbawanga. Aibu sana hata jina la mkoa ambao sumbawanga inapatikana hujui. Watu kama nyie ndio mnasema tanzania ni muungano wa tanganyika na zimbabwe
 
nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?

aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Acha mawazo mgando wewe,ndio maana huendelei upo hapo hapo miaka mia,umri umeenda cha maana na gharama unachomiliki ni simu
 
Ngoja nifanye mchakato ws kuoa kibint cha uko niangalie hizo fursa kwa ukarib zaid
 
Nimeuona uwanja wa ndege bana nzalendo
na hiyo barabara ya two ways maeneo ya sabato kama sikosei. Lakini kwenye bei ya viwanja/plot umeongopa. Bei hiyo labda uende ntendo, kasense huko au chipu.
 
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana

Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo

Gharama za ujenzi ni nafuu.

Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia

Nafikiri kustaafia Sumbawanga

Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.

Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.

Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia

Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.

Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.

Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.

IMG_0543.jpg


Hakuna foleni
njoo huku.


Barabara%2BSumbawanga.jpg


Ukichelewa shauri zako.

57195139.jpg


Plot utapata kwa sh laki tatu..

Sasa unafanya nini huko mjini?

Majuto ni mjukuuu
Ntakuja lakini hadi nikaage kwetu
 
Back
Top Bottom