Nimeipenda hii

Nimeipenda hii

Hawa wanafanya fujo tu! Hawajui kufanya ile mamboz wanafanya wakongo wenyewe; hawa wanajinyonganyonga tu lakini kibindankoi wenyewe na viunoz haipo kabisa.
 
una lako ndugu. Watoto wanabenua na kujituma hivyo bado huoni?
 
Hawa wanafanya fujo tu! Hawajui kufanya ile mamboz wanafanya wakongo wenyewe; hawa wanajinyonganyonga tu lakini kibindankoi wenyewe na viunoz haipo kabisa.

kweli mkuu! Hata Ray C anawamiliki wote hao..
 
Back
Top Bottom