Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,399
- 2,040
Dah Asante Kwa Ushauri Ndugu YanguAhahahaha nacheka as if yanachekesha, anyway pole bhana Mr.
Ila siku nyingine jiongeze kidogo kimangoto. Maana kiakili ya kawaida tu, uwezi kaa mbali na mwanamke mwenye ujauzito wako, kwa takribani miezi 8 (since anapata ujauzito, till umebakia mwezi mmoja wa kujifungua) huo ni upuuzi mkubwa sana.
#no pain, no gain....mezea tu.
#pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ata mimi nimewaza hivi maana sina kingine cha kuwambia maana nimeonekana bonge la boya dahPole sana...
Huna cha kufanya ndiyo ushadanganywa...
Cha kufanya waambie wazazi wake yule mwanamke niliyewaambia ana ujauzito wangu, mimba bahati mbaya...
Then endelea na maisha yako...
Cc: mahondaw
nimewaza pia niwambie hivi dahHome waambie ile mimba amearibika tu wala uswaambie kuwa ulisingiziwa maana baba yako atakuona ww ni bwege wahali ya juu usishangae ukiwaambia kuwa umesingiziwa mama yako akakutafutia mchumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kange sya soni..Dah sinyagile nyali
Wakuu Habari!!
Nilikuwa na kasicha tuliko fahamiana kitambo kidogo kama marafiki tu kuna. Siku niko katika harakati zangu za maisha akanitafuta tuonane kama rafiki yake nikaona sio shida tukakutana sehemu.Baadaye tukawa tumekunywa pale na tumekula mpaka mida ya jioni sana nikamsindikiza akaondoka.Baada kama miezi hivi kupita akanipigia simu kuwa anakuja tuonane hila hana kwa kufikia hivyo atalala kwangu nikamkubalia lakini nikamwambia nitakutafutia sehemu ya kulala basi ikawa hivyo akaja tukanywa basi tukaishia kufanya yetu. Basi tukaendelea kukutana mara kwa mara Siku Moja akanaimbia kwamba kapata ujauzito mimi nikamwambia anunue kifaa cha kucheck kama kweli akacheck akanambia kweli yeye ni mjamzito hivyo nijiandae kuitwa Baba basi sikuona shida Wakuu siku zikaenda akanitumia mpaka kadi ya clinic mimi nikaamini kweli nikawa namtumia mpaka matumizi kumbe akawaanidanganya bhna mimi sijui dah wanawake . Siku zikaenda akawa anaonesha dalili zote za mtu mjamzito akawa ananitumia mpaka picha zake kumbe bhna alikua akiweka nguomaana tulikua mbali mbali kimikoa mara aniambie kiuno kinamuuma nimuulizie kwa daktari. Dah Mpaka leo mimba inafikia miezi nane ndo nimejua kupitia rafiki yake alinitumia message kuniambia hapa niko dairema kwa sababu nyumbani nilishawambia ndugu zangu wa karibu mama yangu dah! Dah Shida yangu naanzaje kuwambia nyumbani? Na ni nyingi gharama nilishatumia na je nimuulize maana mpaka sasa sijamuuliza kitu naanzaje wakuu?? Na natamani kulilpiza kisasi kwasababu ni vingi nimevifanya juu yake na nimethibitisha kweli inawezakana nikirelate na baadhi ya matukio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha nacheka kama mazuri
rafiki yake kasema kama ni uongo niombe nikutane nae kitu ambacho huyu binti amekikitaa dah
Una maneno ya kuudhi weweUmelea matambala miezi nane..Pole sana mkuu..