Nimeingizwa mkenge na mwanamke ushauri tafadhari!

Nimeingizwa mkenge na mwanamke ushauri tafadhari!

Kipindi ukiwa kijijini huku mjini kuna watu wawili wanaitwa Man-dojo na Domokaya walitoa wimbo wao mmoja unaitwa NIKUPE NINI... Kuna verse anaimba "haya mwezi wa kumi, kumi na moja huo kwenye kona, si nikashtukia nilikua nahudumia tambala"
Dah mzee hamu sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple tu ndugu zako waambie ujazito umetoka issue ya gharama potezea assume ulikuwa unapita njiani bahati mbaya zikadondoka na kupotea,ila somo ushajifunza vizuri na utakuwa mwalimu wa wengine
Sasa unataka udanganye nyumbani?

Waambie ukweli kwamba alikuwa anakudanganya wala usioogope.

Hakuna jambo zuri kama kusema ukweli.

Kabla ya yote nenda kwao onana na wazazi wake waeleze unataka uonane nao juu ya mwanao kuwa na mimba yako.
[emoji444]si nikashtukia nilikuwa nahudumia tambambara[emoji444] huu wimbo hivi unaitwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kwahiyo ulikuwa unahudumia tambala..
Pole sana, mimi na ubishi wangu ningefunga safari au ningetuma mtu ninayemuamini aonane naye!!


Pole sana we waambie tu nduguzo kuwa umeingizwa mkenge, ukweli utakuweka huru.
Home waambie ile mimba amearibika tu wala uswaambie kuwa ulisingiziwa maana baba yako atakuona ww ni bwege wahali ya juu usishangae ukiwaambia kuwa umesingiziwa mama yako akakutafutia mchumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana...

Huna cha kufanya ndiyo ushadanganywa...

Cha kufanya waambie wazazi wake yule mwanamke niliyewaambia ana ujauzito wangu, mimba bahati mbaya...

Then endelea na maisha yako...


Cc: mahondaw
🤣🤣🤣 Mwanamke mjanja sana huyo..
Ndio siku nyingine ulee na ujauzito sio unasubiria mtoto ndio ulee
hesabu ulivyonavyo kwa sasa, usihesabu ulivyopoteza.. wazazi watakuelewa maana kudanganywa ni kawaida kwa mwanadam. Acha kuamini amini organism who know as women..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Mimba hiyo dah
IMG-20190114-WA0047.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah njisi ya kuanza naona hadi aibu dah ntaonekana bonge la mzembe wakati mama ananiamini kwa kila kitu dah huyu binti kanishusha credit sana dah nashukuru pia kwa ushauri dah
Dah inauma sana kajabila dah. Anakuona fala wewe mshtaki kwa ndugu zake na ndugu zako arudishe gharama zako kisha alale mbele. KIKUBWA ARUDISHE GHARAMA. NENDA TIGO AU BODA WAKUPE STATEMENT YA MIAMALA YOTE ULIYOTUMA KWA HUYO TAPELI, ATALIPA TU. PIA SHIRIKISHA POLISI, WANASHERIA NA USTAWI WA JAMII. LAZIMA ATOE CHOZI. NINGEKUWA NI MIMI NINGEMUITIA HADI WAANDISHI WA HABARI KINA SHIGONGO NA MILARD AYO. SHENZI SANA HUYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah inauma sana kajabila dah. Anakuona fala wewe mshtaki kwa ndugu zake na ndugu zako arudishe gharama zako kisha alale mbele. KIKUBWA ARUDISHE GHARAMA. NENDA TIGO AU BODA WAKUPE STATEMENT YA MIAMALA YOTE ULIYOTUMA KWA HUYO TAPELI, ATALIPA TU. PIA SHIRIKISHA POLISI, WANASHERIA NA USTAWI WA JAMII. LAZIMA ATOE CHOZI. NINGEKUWA NI MIMI NINGEMUITIA HADI WAANDISHI WA HABARI KINA SHIGONGO NA MILARD AYO. SHENZI SANA HUYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ushauri mzuri sana shida inakuja ndugu zake ni dada zake wawili Mwanzo sikuweza kuwashirikisha kama mdogo wao ana ujauzito wangu yeye alinambia ata wambia yeye mwenyewe kwani yeye alikua anaishi peke yake kajipangia ndugu wengine siwafahamu hiyo ya polisi nasubiri siku nikimtia kwenye kumi nane zangu atasimulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamewahi kunikuta kama haya. Hakyanani inaumaa acha tu. Yule Myakyusa wa pale Vuawa, mfanyakazi wa taasisi fulan ya fedha aliniiingiza mkenge wa aina hii. Wewe Nelly Mwambungu uliniumiza sana sanaaaa ndiyo maana hats ulipotaka turudiane nilikuwa mkali kweli kweli. Pole sana mkuu hawa ndiyo akina hawa
 
Yamewahi kunikuta kama haya. Hakyanani inaumaa acha tu. Yule Myakyusa wa pale Vuawa, mfanyakazi wa taasisi fulan ya fedha aliniiingiza mkenge wa aina hii. Wewe Nelly Mwambungu uliniumiza sana sanaaaa ndiyo maana hats ulipotaka turudiane nilikuwa mkali kweli kweli. Pole sana mkuu hawa ndiyo akina hawa
Dah inauma mzee tena sio kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Habari!!
Nilikuwa na kasicha tuliko fahamiana kitambo kidogo kama marafiki tu kuna. Siku niko katika harakati zangu za maisha akanitafuta tuonane kama rafiki yake nikaona sio shida tukakutana sehemu.Baadaye tukawa tumekunywa pale na tumekula mpaka mida ya jioni sana nikamsindikiza akaondoka.Baada kama miezi hivi kupita akanipigia simu kuwa anakuja tuonane hila hana kwa kufikia hivyo atalala kwangu nikamkubalia lakini nikamwambia nitakutafutia sehemu ya kulala basi ikawa hivyo akaja tukanywa basi tukaishia kufanya yetu. Basi tukaendelea kukutana mara kwa mara Siku Moja akanaimbia kwamba kapata ujauzito mimi nikamwambia anunue kifaa cha kucheck kama kweli akacheck akanambia kweli yeye ni mjamzito hivyo nijiandae kuitwa Baba basi sikuona shida Wakuu siku zikaenda akanitumia mpaka kadi ya clinic mimi nikaamini kweli nikawa namtumia mpaka matumizi kumbe akawaanidanganya bhna mimi sijui dah wanawake . Siku zikaenda akawa anaonesha dalili zote za mtu mjamzito akawa ananitumia mpaka picha zake kumbe bhna alikua akiweka nguomaana tulikua mbali mbali kimikoa mara aniambie kiuno kinamuuma nimuulizie kwa daktari. Dah Mpaka leo mimba inafikia miezi nane ndo nimejua kupitia rafiki yake alinitumia message kuniambia hapa niko dairema kwa sababu nyumbani nilishawambia ndugu zangu wa karibu mama yangu dah! Dah Shida yangu naanzaje kuwambia nyumbani? Na ni nyingi gharama nilishatumia na je nimuulize maana mpaka sasa sijamuuliza kitu naanzaje wakuu?? Na natamani kulilpiza kisasi kwasababu ni vingi nimevifanya juu yake na nimethibitisha kweli inawezakana nikirelate na baadhi ya matukio.
Hauna akili wewe. Amekwambia mjamzito miezi nane huonani nae sasa ni tatizo lako siyo yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuhudumia mpaka miezi tisa,halafu atakwambia mtoto kafa
Baada ua hapo utajipa moyo muyaanze upya mimba ua kweli kweli
Usijali hayo mambo yapo tuu katika hii safari ya makuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa mtoto wa kiume kuishi kwa hofu. Mfuate huyo demu wako kahakikishe kabisa then ukiona hana kitu mkate makofi kama matatu hivi ya uchafu yaani unapiga kutumia nyuma ya kiganja cha mkono kule kwetu huwa tunaita kichapo cha dharau.

Ukitoka hapo sema tu uongo kwa nduguzo kuwa induced abortion imefanyika hivyo umeamua kumwacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom