Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,632
- 81,727
Mpe ushauri dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe ushauri dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpe ushauri dada
Hahahahaha dah!
Hapo chachaSasa mkuu kwa nn usifanye kwanza utafiti je kama huyo rafiki amekudanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa amewaachia. Majamaa.wengine.wakimsaidia kuloweka mhogo.we ni bwege ko miez yote 8 unawahi loweka govinda lako ww ni kuambiwa tu unasikiliza
ukajiona shababi hahahahha hapo subiri kuambiwa imetoka utume hela ya kusafishia.
Akienda kwa kuwa ushamwambia ataweka matambala. Tena we mshitukize mwambie huyo ndugu yako yy ndo aende bila. Taarifa ili amufumanie vizur.Mkuu inawezekana kuna vimatukio hapa nikikumbuka nakubaliana naye kabisa kama leo nimemwambia kuna ndugu yangu nimemtuma mzigo nenda kachukue kagoma kabisa kawa mkali sana
Poleee si wanaume tunapitia mengi kwa hawa wadada japo tuna wakunja.kisawasawa kitandani ila. Wanatufilisidah nalia mzee siamini kama ni mimi kweli naona hadi aibu
Dah kumbe ndo zake nasikia katudanganya wengi alafu hapa ana nambia et nilitoa nilipo ina utanisumbua baadayeNa mimi nina ushuhuda hapa kidogo nilishawahi kuwa na mahusiano na binti mmoja hivi toto toto kweli vijicho vya kibantu kifuani saa sita nyuma mtalimbo basi bhna kama utani vile siku alitania baby siku nikipata ujauzito utajisikiaje ? Na mimi kwa utani nikamwambia hamna shida just simple nitamlea mwanangu, kumbe alikuwa anapata target ya kuisoma saikolojia yangu mwezi mmoja mbele aianiambia ana ujauzito sio kesi kwa sababu nilikuwa mkoani nikaona isiwe kesi kumbe alikuwa muongo bhna kanipiga sana vijembe vya hela mala clinic sijui mala nini, mwisho wa siku ilifahamika tu binti ananipiga vizinga kwa kuwaulizia watu wake wa karibu kama wa 5 hivi nikapata evidence!!!! Yaaan hivi viumbe ni vya kuishi nao makini sanaaaa
Asante ndugu dah nimejiona boya hatar aibu naona mimiHahahahaha hahahahaha hahahahaha,, uwe sijui kiiii hii kiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣
Matambara miezi nane.
Pole sana ndugu,
Man tuko mbali kimikoa man si unajua maisha mi nikawa busy kujichanga kwa ajili ya mwanangu dahAisee mkuu hata kama ni uzembe ww umezidi.
Man umedanganywa mimba for eight month na bado upo tu? Seriously man
Maanyie ziara ya kushtukiza bila hata yeye kujua . Mfuate huko aliko . Hakikisha una muumbua na red card hapo hapo man.
Usikubali kuchezewa akili na hawa viumbe. Acha kukaa kizembe man.. mjini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hivi unachukulia rahisi kihivyo????Sasa unachanganyikiwa ni nn??
Hapo mkeka umechanika jipange tu kusuka mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kunitia moyohesabu ulivyonavyo kwa sasa, usihesabu ulivyopoteza.. wazazi watakuelewa maana kudanganywa ni kawaida kwa mwanadam. Acha kuamini amini organism who know as women..
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho inaniuma hatari sijui ntalala leoAsa ulikuwa china hata sku moja usionane naye Au ndo wale mkiambiwa nna mimba na kugegeda mnasitisha anyway fatilia kam umeingizwa mkenge kwel n sawa tu hata ww ulihusika unafikir responsibility n kutuma hela tu
Sent using Jamii Forums mobile app
DahAlikuwa amewaachia. Majamaa.wengine.wakimsaidia kuloweka mhogo.
Hakuna mimba mzee na yeye kasema et nilitoa niliona utanisumbuaAkienda kwa kuwa ushamwambia ataweka matambala. Tena we mshitukize mwambie huyo ndugu yako yy ndo aende bila. Taarifa ili amufumanie vizur.