Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,242
Sasa unataka udanganye nyumbani?Asante dah nalia hapa nitawambia nn nyumbani dah naona hadi aibu kuanza na kuna vitu vingine mama alikua ananipa nivitume
Waambie ukweli kwamba alikuwa anakudanganya wala usioogope.
Hakuna jambo zuri kama kusema ukweli.
Kabla ya yote nenda kwao onana na wazazi wake waeleze unataka uonane nao juu ya mwanao kuwa na mimba yako.