Nimeingizwa mkenge na mwanamke ushauri tafadhari!

Nimeingizwa mkenge na mwanamke ushauri tafadhari!

Nashangaa mtoto wa kiume kuishi kwa hofu. Mfuate huyo demu wako kahakikishe kabisa then ukiona hana kitu mkate makofi kama matatu hivi ya uchafu yaani unapiga kutumia nyuma ya kiganja cha mkono kule kwetu huwa tunaita kichapo cha dharau.

Ukitoka hapo sema tu uongo kwa nduguzo kuwa induced abortion imefanyika hivyo umeamua kumwacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepokea ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa nadhan Ubungo Maziwa pale kwa chini hivi njia ya vijibweni kama unaenda Kigamboni.


Wanawake hawa Mungu anawaona hadi hawa mnawaumiza??? Bora hata mngekua mnatupiga kina sie maBudege wenzenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia haiko fair kabisa mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah polee mzee hata uwe mwanaume vipi yupo mwanaume atakushurutishaga tu hawa viumbe ni wa aina yake,


Mwambie huyo rafiki ake alirlodi video ya live insta live au fb amuotee akiwa hajaweka matambara hayo ili uprove,
Picha atakumia hata za zamani,
Ila usiseme uongo nyumbani,
Na kma amekudanganya fanya juu chini uonane nae afu uje utumalizie movie ilikuaje,
Daaah pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ushindwe kuomba picha ya tumbo la mama kijacho akiwa hajavaa nguo! Miezi 8.
Mtapigwa sana kutumia hisia nyingi kwa wadada.akili ku mkichwa.Pole ndio hvo waambie wazazi umetapeliwa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa kweli

Hapa umepigwa changa la uso ila na wewe mzembe kwa nini usimchukue kumpeleka kwa daktari ukathibitishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Habari!!
Nilikuwa na kasicha tuliko fahamiana kitambo kidogo kama marafiki tu kuna siku niko katika harakati zangu za maisha akanitafuta tuonane kama rafiki yake nikaona sio shida tukakutana sehemu.

Baadaye tukawa tumekunywa pale na tumekula mpaka mida ya jioni sana nikamsindikiza akaondoka baada kama miezi hivi kupita akanipigia simu kuwa anakuja tuonane hila hana kwa kufikia hivyo atalala kwangu nikamkubalia lakini nikamwambia nitakutafutia sehemu ya kulala basi ikawa hivyo akaja tukanywa basi tukaishia kufanya yetu.

Basi tukaendelea kukutana mara kwa mara siku Moja akanaimbia kwamba kapata ujauzito mimi nikamwambia anunue kifaa cha kucheck kama kweli akacheck akanambia kweli yeye ni mjamzito hivyo nijiandae kuitwa baba basi sikuona shida wakuu siku zikaenda akanitumia mpaka kadi ya clinic mimi nikaamini kweli nikawa namtumia mpaka matumizi kumbe akawaanidanganya bhna mimi sijui dah wanawake .

Siku zikaenda akawa anaonesha dalili zote za mtu mjamzito akawa ananitumia mpaka picha zake kumbe bhna alikua akiweka nguomaana tulikua mbali mbali kimikoani mara aniambie kiuno kinamuuma nimuulizie kwa daktari dah Mpaka leo mimba inafikia miezi nane ndo nimejua kupitia rafiki yake alinitumia message kuniambia hapa niko dairema kwa sababu nyumbani nilishawambia ndugu zangu wa karibu mama yangu dah! dah Shida yangu naanzaje kuwambia nyumbani?

Na ni nyingi gharama nilishatumia na je nimuulize maana mpaka sasa sijamuuliza kitu naanzaje wakuu na natamani kulilpiza kisasi kwasababu ni vingi nimevifanya juu yake na nimethibitisha kweli inawezakana nikirelate na baadhi ya matukio.
`duh mpaka inafika hvyo haujeenda hata kushika tumbo kusikia mtoto kama anacheza, mkuu mwaka huu utaibiwa sana
 
Maji yakisha mwagika hayazoleki tena, yaliyopita yamepita ganga yajayo.
 
Kwanza nikupe pole sana mzee baba
Alafu pokea haya madongo yako;
Kwanza wewe ni fala pili mjinga alafu umezubaaa sana.
Hivi inakuaje miezi nane hujawai kwenda hata mala moja kumuona huko alipo??
Umeshindwa Nini kuacha kazi yako au kuomba likizo walau ya siku saba ukaenda kuonana naye?
Acha uzembe panda gari nenda ukamuone huko alipo ili ujiakikishie mwenyewe. Wala usimjulishe kua unaenda.
Baada ya hapo onana na wazazi wake waambie Kila kitu Kisha sepa ukaanze maisha upya.
MUHIMU- msamehe usifanye chochote afeki mimba atakuja kuitafuta mpaka machozi ya damu hatakuja kupata maisha yake yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah polee mzee hata uwe mwanaume vipi yupo mwanaume atakushurutishaga tu hawa viumbe ni wa aina yake,


Mwambie huyo rafiki ake alirlodi video ya live insta live au fb amuotee akiwa hajaweka matambara hayo ili uprove,
Picha atakumia hata za zamani,
Ila usiseme uongo nyumbani,
Na kma amekudanganya fanya juu chini uonane nae afu uje utumalizie movie ilikuaje,
Daaah pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mzee mimi nilikua najiona bonge la mjanja siwezi kuingizwa mkenge na mwanamke haya mambo yapo kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahhahaah😀 hii kali!! mbona umeingizwa mkenge kirahisi!! hizo hela ulizokua unamtumia alikua anakula bata tu!!
 
Back
Top Bottom