GuDume . Kumbuka mschana moja wa uvccm na naibu waziri walishindwa kuapa na kuomba kura. Nasikia ni wa Lindi! Pia nakumbuka ziara ilikatishwa huko! So behave unapokuwa LindiNimefika Lindi na jamaa zangu wawili muda huu. Sote ni wageni mkoani hapa. Tutakuwepo kwa siku 21.
Nenda kavue!! Bwana we we acha nchezoo!Nililalaga Machenza (ile mpya) bei walinipiga 15000. Kiwanja nilienda karibu na bahari pale.
Ila nilisitika lindi samaki bei kubwa wakati bahari naiona ile pale.
Bora Dar tu.
True mkuu. Kuna jamaa alimchukua mke wa mtu huko na kumuweka kinyumba. Nilitegemea mwenye mke angemtoa meno mkewe au mwizi wake. Cha kushangaza kamfuata mbaya wake kistaarabu kabisa na kumuomba ampe kiasi Cha pesa akaoe mke mwingine.Hii imekaaje? Ni utamaduni wao upo hivi? Hamna wivu?
ila wazee wa Lindi, Ruangwa ni magwiji aisee, hua najiuliza ule moshi ulitoka wapi hadi leo sipati jibu...3. Tukio jingine mwenyewe unalikumbuka.
Nipo Lindi huku hakuna starehe pambana tu na hali kaka angu karibu uswahilini ila hakikisha unatumia kondom na usiende na mwanamke humjuiNimefika Lindi na jamaa zangu wawili muda huu. Sote ni wageni mkoani hapa. Tutakuwepo kwa siku 21.
Mimi naomba mwongozo nipate lodge nzuri ya kuanzia tsh 30,000- 50,000 isizidi hapo. Iwe nzuri, safi na salama pia.
Lakini kama kuna mambo ya kuzingatia nikiwa huku, maoni na ushauri ntapokea pia ili nijue namna ya kuishi na watu wa huku kwa siku hizo 21.
Maeneo gani yafaa kutembelea, viwanja tulivu, kama kuna vyuo huku nakadhalika nakadhalika.
But pia si vibaya mkinambia namna ya kutembea, kuongea na mambo kama hayo. Naamini mmenielewa.