Nimeikuta sehemu

Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316

Nilishawahi kuingia kwenye simu ya fiance wangu ; to my surprise, only to find out yeye ndio anatongoza ma men na kuwatumia picha za uchi.

Ila nilichokuja kumfanyia, nasikia hatosahau, nilimvisha pete ivo full , kwa wazaz ndugu zake na friends . Only kuja ku msurprise kwa wachungaji wake nawazaz kuwa she is a nasty……

nilimtumia dada zake, shost zake, mchungaji wake , baba na mama yake all her nasty videos and sms

Then niliwaandikia with those video and sms , ndio mnataka kuniozesha huyu mtu

And then I never showed up

Alilia sana . Sikuwah kujibu text wala sms wala calls zozote. Nilikuwa kila siku napokea calls na sms zaid ya 100 kutoka kanisan kwao na home kwao.

Ushenz hujibiwa kwa ushenzi
 
Duuuh🤔🤔
 
Duh!
Mkuu

Ungemuacha tu pasi na kumuadhibu hivyo
 
Kama hakuna mashaka yoyote bhasi kila mtu ashike simu yake... Nikikuhisii kama nakupenda lazima kukaguana.
 
Ushenzi hujibjwa kwa ushenzi

Nasikia baada ya hilo tukio ametulia now

Hata devil in the garden was also doing GOD works
Na wewe utakuwa tayari kuadhibiwa hivyo na mpenzi wako endapo utakosea?
 
Ongera Sana huo ndio uhuru na mwenza wako waache awa viruka njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…