Nimeikuta sehemu

Ooh sawa mkuu
 
Kupasha kiporo..!!! Si unajuwa kupasha kiporo wala hakuihitaji moto mwingi..!! Hata kama wewe hutaki, mwenzio akikuruka na li sms lake la kupasha kiporo unadhani mwenzio ataelewa?
Tukiachana tumeachana wala hata salamu yako sitaki
Kila mtu apambane na hali Yake, nasonga mbele kama injili.

Ex anapataje huo uhuru wa kubwabwaja sms anitumie?
Ina maana unakuwa umemuendekeza.
 
Achana na wapenzi kuna wapuuzi ukiwapa simu lazima waingie katika gallery na sms sasa sijui wanatafuta nini aisee?
Hiyo ni case nyingine


Kwa kweli huwa nakereka hata mimi... Mpenzi wangu nitampa afanye chochote ila mtu mwingine hapana Kwa kweli.

Mtu ni rafiki tu ameazima simu atumie dakika, mara anaanza kupekua simu, pekua gallery, anaanza kusoma Convo zako.. hii ni aina na uchizi.
 
Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Inategemea. Kama ni muaminifu hata ukimuachia access ya simu yako mpenzi ni sawa tu ila kama penda penda ni bora mwenzako asiwe na access ya simu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…