Ndio kwa wana-ndoa na hapana kwa wasio wana-ndoa isipokuwa tu kwa idhini/ruhusa ya mwenye simuJe wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Tutakuja kuishi kwako angalau mwezi mmojaTulikuwa tunajadiliana tu my dear; to each his own sweetheart as long as kinakupa amani na maisha yanasonga. Mimi simtilii mtu mashaka; but I watch over his steps na imetusaidia sana cos kuna muda namshtua mapema kwamba huyu Mtu bana sio mwema (hapa simaanishi michepuko; kuna friends au hata ndugu ambao usipokuwa makini, utakuta mwenzio ameshatumbukia shimoni). Mtu yeyote ndani ya nyumba yangu; huwa namfuatilia nyendo zake; atake asitake
Watch out mwenzako anaongea nini na anaongea na kina nani; know exactly what they feed his mind. Mfano siku hizi kuna makanisa na Watumishi ambao usiposhtuka mapema; utakuja kushtuka ndoa inavunjika kisa Mtumishi fulani. Mimi ni mlinzi; nalinda kiroho na kimwili; mengine atajuana na Mungu wake; but I played my part.
Simpi rafiki yangu yoyote no ya mpenzi wangu...na sitaki mazoea kabisa tulindane hivyo tuUpo sahihi kabisa, dunia imevurugika
Halafu umenikumbudha, kuna hawa wanaoitwa friends kwa kweli mimi sitakagi ujamaa nao, the are not good people, especially friends wa jinsia tofauti
Unaweza ukawa na access na simu Kwa lengo lingine mbali na kukagua.Kwanza ukague ili ugundue nini??? Kujitafutia presha za rejareja tu mamy!
Unakuta rafiki sijui classmate ametuma msg "Hi Luv, familia haijambo?" Mi nikajibu mxeeeew, tangia hiyo siku sijaonaga tena huyo classmate akitext wala akipiga, tukakutanaga nae kwenye harusi ya classmate mwenzao akakimbia maana alivyoniangalia tu alikosa confidence
Sema it was long ago, almost 10 yrs back lolenzi hizo mimi mgomvi nikikuta tu text ntahakikisha alietuma ananijua na kunitambua vizuri
Sema nimekua mie lol
Nashangaa Mkuu watu aanavyoogopa wenzi wao wawe na access na simu zao.Kama unamiliki shamba
Likiwa na miembe,minazi mikorosho yote si ni ya kwako?Mwanamke wangu
Mke wangu, mke wangu zingatia hilo na vyote anavyo miliki ni vyangu pia
Sasa kuna uprivate gani wa msingi sana zaidi ya kukaa uchi pamoja
Simu ikawe na vya muhimu zaidi ambavyo havitakiwi kuonekana na mimi
Umeshawahi kuwa unataka simu ya mwenzio kwaajili ya ku note namba au kupiga labda salio huna au torch na anakukazia kwa sababu tu anaona utamchunguza na wakati huo jambo ulotaka kufanya lina umuhimu sana kwa wakati huo
Na hata nyumbani kwangu huwa sipendi kuwakaribisha, kama kukutana tunakutana hukooo tunapiga story kila mtu anaenda kwakeSimpi rafiki yangu yoyote no ya mpenzi wangu...na sitaki mazoea kabisa tulindane hivyo tu
Ila simu kila mtu ashike yake
Kwanini hapana Kwa wasio wanandoa?Ndio kwa wana-ndoa na hapana kwa wasio wana-ndoa isipokuwa tu kwa idhini/ruhusa ya mwenye simu
mmh haiezekana mtu unae mpenda ukatulia tu bila hata kuchungulia simu yke hata kwa jicho mojaaNdiyo maana sideal na simu ya MTU
Mtu wa hivyo hana analolificha, wewe kama mtu mzima unaelewa fika kuwa kuna yanayoendelea ndio maana mtu anafanya hivyo, huko kutaka kuprove ndio kujitaftia sonona.Trust is earned oooh.
Mfano tu unakuwa na mtu ambaye muda wote akiwa na wewe simu inawekwa "flight mode". Kuna watu wanaficha simu hadi muda wa kuoga anaingia nayo bafuni; bado hutoiba simu yake ujue yaliyomo? Halafu mtu akiwa huru na simu yake kwako; unajikuta unaiona tu ya kawaida, wala hutohangaika nayo unnecessarily. Mtu anakwambia kabisa, naweka hii password kwa sababu sitaki mke wangu aguse simu yangu; does it make sense?
Kiufupi siwezi mkuummh haiezekana mtu unae mpenda ukatulia tu bila hata kuchungulia simu yke hata kwa jicho mojaa
Kwa nionavyo mimi, nadhani ile hali ya kuhusisha zaidi simu kama vile ni moja ya sehemu muhimu zaidi ya mapenzi ndiko ambako shida za simu kwenye mapenzi zinakoanzia.Ndio. Kwanini asishike simu yangu? Naficha nini?
Binafsi sina siri ktk mapenzi.
Simu yangu akitaka ashinde nayo, aondoke nayo atajijua mwenyewe.
Ndiyo ht me kwangu sipendagi mazoea tukutane hukooo vijiweniNa hata nyumbani kwangu huwa sipendi kuwakaribisha, kama kukutana tunakutana hukooo tunapiga story kila mtu anaenda kwake
Nikiwa kwenye ndoa au sirious relationship sim ya mpenzi wangu ni lazima nishike na nikague nn anafanya kwenye sim yake kwasabab dunia ya saiz zaid ya 80% ya tabia za mtu zipo ndani ya simu so siwez kuacha kukagua sim. Kukwepa kushika sm ya mpenz ni sa na kula funza gizani ukategemea unakuka chakula salama hiyo hali siwezi kabisa. Na yey namruhusu ashike yangu tena nampa na password
Mjipange tu; nawachunga zaidi ya kondooTutakuja kuishi kwako angalau mwezi mmoja
Labda kama siyo sisi😁Mjipange tu; nawachunga zaidi ya kondoo