Mpenzi wako akikusaliti, achana nae, tafuta mwingine anayekupenda, endelea na maisha

mastori

Member
Dec 16, 2022
13
45
Napenda kuwasihi wanajamii, kwa kuzingatia matukio ya wapendanao kudhuriana.

*Napenda kuwashauri Wanandoa na Wapenzi, pale mmoja wa wapenzi anapomsaliti mwenzake, kufanya vurugu sio suluhu ni vyema kusitisha uhusiano huo na utafute mwingine anayekupenda kama unavyompenda.

Ikumbukwe kwamba kuendelea na maisha (moving on) ni afadhali kuliko kukatisha maisha ya mtu mmoja (mpenzi), na kusababisha maumivu makali kwa familia na jamaa zake.✍🏼

Hayo👆🏿si maneno yangu, bali ya Jaji MARTHA MPAZE wakati akimhukumu Bwana Luwanja kwa kuua [Mpenzi wake] bila kukusudia.✍🏼

MD, Mendez (M.C.A)
28/02/2024

IMG-20240228-WA0867.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom