Bila shaka wametumia test kits zilizothibitishwa na wataalam wetu kwamba ziko vizuriJPM alisema barakoa za nje zina sumu.
Kupima madereva huku kwetu walipimwa na nini wakati maabara yetu imefungwa kwa uchunguzi usiokamilika.
Halafu hivi una habari sukari bado haipatikani uswahilini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu wapi hao? au wale waliosimamishwa siku hizi wanafanya kazi nje ya ofisi!Bila shaka wametumia test kits zilizothibitishwa na wataalam wetu kwamba ziko vizuri
Usipinge kila kitu kwa lengo la kupinga, if please you can argue logicallyWataalamu wapi hao? au wale waliosimamishwa siku hizi wanafanya kazi nje ya ofisi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Layman, zinazuia virus?issue is not barakoa, issue to sustain the purpose!Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
Hiyo ya sukari fungua post yake tutaichangia, kwa post hii ni corona tu.JPM alisema barakoa za nje zina sumu.
Kupima madereva huku kwetu walipimwa na nini wakati maabara yetu imefungwa kwa uchunguzi usiokamilika.
Halafu hivi una habari sukari bado haipatikani uswahilini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huruhusiwi kwenda na simu tenaSerikali ilivyokuwa inasimamia maziko ili kuzingatia kanuni za afya, ikawa wakati mwingine inalazimika kuzika usiku, watesi wakaanza Photoshopping na kutengeneza video fake na kusambaza dunia nzima kwamba watanzania wanazikwa kwa maelfu! JPM akagundua janja yao akasema hamna kuzika usiku tena, picha na mavideo yote yakopotea!
Hata WHO walishauri kutumia cloth masks kutokana uhaba. Na ni baada ya kumsikia JPM. Hata USA wanatumia. Maana ilitaka iwe biashara mbaya.Layman, zinazuia virus?issue is not barakoa, issue to sustain the purpose!
1. Can Masks Capture Coronavirus Particles?
The skeptic case:
Matambara yana vitundi vikuvwa zaidi ya units hizo hapo juu...... Kwahiyo hayo matambara ni BURE!
Sasa hivi ndugu wanaruhusiwa kuchukua mwili, control za matumizi ya simu zitoke wapi?