Nimeikuta magomeni

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Okoa Ndoa yako sasa.
 

Attachments

  • 1407505501675.jpg
    59.6 KB · Views: 1,044
Ukitaka kuuza bidhaa yako tangaza kuwa inaongeza nguvu za kiume. utawapata wengi sana.
 
Anajua kujitangaza kibiashara, nimependa hiyo.

Atawapata wengi
 
magomeni sehemu gani sasa inapatikana hiyo bidhaa?sijaona address hapo wala mawasiliano...
 
ukishaongerea magomeni tayaar kwa sisi wa mjini tunaelewa nn kinafata maana tabia zote ziko ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…