Watu tunatofautiana. Wakati wengine hii makitu mmeiweka chumba ya makumbusho ,mi nimetoka kuitumia sasa hivi.Hiyo pasi ya umeme ya nini huku kwetu mbwinde,zilikopita nguzo za umeme zikiwapelekea nishati watanzania.Saloon yetu chini ya mbuyu,kitu ya topaz,full sterile no contamination.Unalipia 200 uko smart.
Hii sina hamu nayo ilishakula suruali yangu ya TOKYO, siwezi sahau.
Umefika vipi hapa JF .....
mie bado ninayo
bibie ummu kulthum Kipenzi bado wewe unaitumia huko Singida mjini?aaaaah bado inatumika mbona
Naona kama atakujibu kesho atakapofunga safari kwennda intenet caffee kule mjini.Umefika vipi hapa JF .....