Wakuu nimefikiria sana na kutafakari nimeamua kuchukua maamuzi magumu.Niameamua kuhamia ACT chama "makini"!ninaombeni kusilimishwa mapema iwezekanavyo ili kukidhi vigezo vya chama "makini".Pia kwa kuwa mimi sio tapeli,naomba nipewe training ya utapeli ili niendani na kasi ya chama changu kipya!Mimi ni mnyiramba sio "Muha" je hapa itakuweje wana "makini" wa ACT!
Kikubwa ni kwamba chama makini kina experience kubwa ya kuuza majimbo na kata,naombeni uzoefu,huku Iramba kuna dili ambayo CHADEMA inaipuuza,nipeni deal masela ili tu-make mahela
na tena wanasema chama cha WAHA,wanadhani chao kilivo cha wachaga basi vyote vinaukabila,imekula kwao
chadema ni chama cha ubaguzi wa kidini, kikabila na kikanda,, usifikiri vyama vyote vina ubaguzi kama chadema..
safu nzima ya uongozi wa chadema ni wachaga na wakaskazin.. ruzuku yote ya chadema inaishia kanda ya kaskazini.. muasisi mkuu wa udini na ukabila ni MZEE EDWIN MTEI ALIESEMA HATAKI KUMUONA MUISLAM AU MTU YOYOTE KUTOKA KANDA TOFAUTI NA KASKAZINI KWENYE UONGOZI WA CHAMA CHAKE. MZEE MTEI ANATAKA CHADEMA IONGOZWE NA WACHAGGA TU
Chama changu kipya na bendera yenye nyota.tunaanzia msikitini kwnd kwa watanzania wote mtupokee
chadema ni chama cha ubaguzi wa kidini, kikabila na kikanda,, usifikiri vyama vyote vina ubaguzi kama chadema..
safu nzima ya uongozi wa chadema ni wachaga na wakaskazin.. ruzuku yote ya chadema inaishia kanda ya kaskazini.. muasisi mkuu wa udini na ukabila ni MZEE EDWIN MTEI ALIESEMA HATAKI KUMUONA MUISLAM AU MTU YOYOTE KUTOKA KANDA TOFAUTI NA KASKAZINI KWENYE UONGOZI WA CHAMA CHAKE. MZEE MTEI ANATAKA CHADEMA IONGOZWE NA WACHAGGA TU
hata bendera ya israel ina nyota.. kwa hiyo israel ni taifa la kiislam. tatizo huna.hoja umekalia unafiki tu
acha uroho,tapeli gani wewe mroho,tupe shule na wengine
Uharo ulioandika umeunganishwa kajipange kamanda hata "mini Kabang" alisema anaondoka bungeni mpaka leo anakula kilo 3 a au ndio style yenu pale ufipa.
Viongozi wote wa ACT wana SIGDA
Hapana ni wachungaji na mapadri!
ACT italeta Alshaabab
Viongozi wote wa ACT wana SIGDA
kwani chama ni cha baba ako hutaki wengine,mil 400 awamu ya kwanza zote mmezitafunahata bendera ya israel ina nyota.. kwa hiyo israel ni taifa la kiislam. tatizo huna.hoja umekalia unafiki tu
ACT italeta Alshaabab
kwani chama ni kwako,
Kama Chadema inavyotuletea Mashoga!
ni cha watanzania wote
ni cha watanzania wote