Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

Ahahaaaaaa....! Kama kawaida yako mkuu. Wewe si ulienda ukweni wiki iliyopita wewe?. Eti ashukuriwe alieanzisha vikoba.
 
Mwambie akurudishie hata buku mbili.. Wenzio bodaboda wanazichakata kwa tripu za bukubuku, wauza genge kwa vipande vya nazi na nyanya za mchuzi, wauza nyama kwa kuzidisha robo ya robo na msosi watapelekewa, wauza chipsi ndio kabisaaa, kwa chipsi yai moja tu au mishikaki miwili, wauza mkaa kwa kuzidisha kipimo wanakula mzigo.
Inamaana amegongwa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom