Link mbona nimeweka angalia katika post hiziTupiako basi kalinki. Unajua mada kama hizi za kilimo na ufugaji ukiposti wachache sana wanazisoma. Basi kama hutaki ngoja nigugo.
Nina andiko langu bado halijatiki tu ila likitiki nataka kufundishia vijana kutengeneza mizinga ya nyuki. Una huo utaalam wa kutengeneza mizinga sina yote?Napatikana Mwanza Buhongwa