DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,361
Hongera mkuu ni hatua nzuri ya kuwa recognized .✊🏿
Ili ufuge nyuki lazina ukiasha andaa mozinga uwatege waigie ndani yake hapo ndipo utawafuga. Kufahamu zaidi pitia andiko hili hapa kwenye link: Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzingaNyuki ni wa mungu we unawatoa wapi uwafuge?
Nimedungwa na mwiba wao (siyo kuumwa maana hawana meno) mara nyingi, sikukbuki idadi. Lakini sijutui maana kwangu ni faida inaniongezea Kinga za mwiliCongratulation sana mkuu,
Katika ufugaji wako wa Nyuki,ulisha wahi kuumwa na hao Nyuki japo mara moja?
Hii lugha gani?Ili ufuge nyuki lazina ukiashaandaa mozinga uwatege waigie ndani yake hapo ndipo utawafuga. Kufahamu zaidi pitia andiko hili hapa kwenye link: Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga
Wadogo mtihani lazina ukawakamatr kwenye vichuguu au magogo, ila wakubwa wao wapo wengi ukiwatega unawapata. Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzingaNi njia zipi unatumia kuwa vuta nyuki wadogo au wakubwa katika mzinga
Mizinga unauzaje mkuu?View attachment 3437383
Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika kwangu ni hatua muhimu.
View attachment 3437385
View attachment 3437387
Hapa nikizungumza na Mkuu wa Wilaya Nyamagana ambaye alitembelea Nanenane nikitoa elimu ya uvunaji sumu ya nyuki
Niliyonayo ni Double Box aina ya Longstroth Sh 180,000/ ukiwa umekamilika na Kikinga Malkia ndani yake.Mizinga unauzaje mkuu?
Unapatikana wapi ?Niliyonayo ni Double Box aina ya Longstroth Sh 180,000/ ukiwa umekamilika na Kikinga Malkia ndani yake.
Hongera sana kiongozi 👏🏽👏🏽🙌🏽, nakutakia heri uendelee kufanikiwa zaidi.View attachment 3437383
Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika kwangu ni hatua muhimu.
View attachment 3437385
View attachment 3437387
Hapa nikizungumza na Mkuu wa Wilaya Nyamagana ambaye alitembelea Nanenane nikitoa elimu ya uvunaji sumu ya nyuki
Napatikana Mwanza BuhongwaUnapatikana wapi ?
Fuatilia post zanguHebu toa elimu kidogo, kuhusu ufugaji huo.
Hongera Mwana JF, Hongera sana, hope hujamshukuru "Mama" kwa mafanikio haya....!!View attachment 3437383