Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

Kwa simu zenye compact size unaweza kupata Samsung Galaxy S25 (plain). Hizi zinapatikana hapa Bongo kirahisi kwa bei kuanzia milioni 2 hadi milioni 2.4 kulingana na storage utakayochagua
View attachment 3541422
.
Pia unaweza kupata Xiaomi 15, hizi hapa Bongo ni ngumu kidogo kuzipata ila bei yake ni around 2.2M kama ukiagiza kutoka ChinaView attachment 3541420View attachment 3541421
.
Pia kuna Oppo Reno 15 Pro. Hii nayo haipatikani kirahisi ila kwa kuagiza toka nje ni 1.6MView attachment 3541423View attachment 3541424..
Zote hapo zimetimia kila kona, ni flagship ila ukinunua S25 ni vizuri zaidi for better software support na availability hapa Tz
Ni mtumba au mpya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom