Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
Pole kwa yaliyokupata, naijui pressure ya kupoteza/kuibiwa simu hasa ya gharama kama hiyo walau ulikuwa ushaitumia kwa muda mrefu kidogo
Sasa mkuu nataka kubadili simu, naomba ukiwa na utulivu unisaidie kuorodhesha simu kali za mwaka jana au huu,,, simu hii nayotumia nakumbuka ni wewe ulinishauri na nikainunua ni nzuri muonekano, picha na namna inavyofanya kazi, nashukuru sana,
Kwenye simu utakazotaja please usihangaike na
IPhone sababu itanisumbua sijawahi kuitumia
Google pixel muonekano unawafaa wanaume hivyo hainivutii
Napenda simu yenye umbo dogo, isiyo ya kunitanua vidole, asante