Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6


Polisi nao ni wezi tu
juz wamekula elfu 40 ya jamaa yangu na hamna chochote walichofanya
 
Polisi nao ni wezi tu
juz wamekula elfu 40 ya jamaa yangu na hamna chochote walichofanya
Ndiyo maana awatoagi takwimu ya simu walizo track na kuzi kamata ..kama ni kulipia huduma ilitakiwa walipishwe wahalifu walio kamatwa na simu siyo vinginevyo ...jeshi la polisi linaongozwa na watu wapuuzi wasio na akili kabisa wanalipwa mishahara bure tu
 
Ukiripoti umewapa dili wanakula kotekote, wana mtrack wanampata wanamtoa hela na simu wanabaki nayo
 
Wapo watu wengi waishapata simu hasa Ikwa kui track....!!!

Huyo mwizi wako atarudisha simu, atakupa na pesa, atatoa na pesa ya Police, inategemea na Maelezo Yako Police.

Wengine huandika amepoteza
Simu ya 600,000..... Pia alipotexa milioni 2 ikiwa pamoja na hiyo simu....! Hapo gharama zako zitarudi, simu itarudi, na posho ya Askari ipo humor humo....!

Kuna jamaa yangu simu yake iliibiwa Dar akaenda kuipata Bukoba, na gharama zilirudi na faida juu.
 
Sim gan unataja tu thaman nyoosha maelekezo
 
Nina mgangaa mzuri atakayee fanyaa mwizii aletee cm mpk ulipo hata km hapajui kwakoo 🤔

Kwa msaada zaidi njoo pm nikutapelii🚬
Kwani we' una undugu na Mshana Jr...!!?
 
Achana nayo,polisi watakula pesa na mbunye na bado hutaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…