Nimeibiwa pesa kwenye akaunti yangu ya NBC

Hizi benki vimeo. Mimi nilifunga mapema sana akaunti yangu huko. Ila nmb nako matatizo. Wafanyakazi wanaiba hela kwenye akaunti za watu pia. Tamaa ya kununua magari, na kuwahonga mademu wao ndio inapelekea haya yote. Short cut. Nashukuru nmb wapo humu jf, good. Mabenki mengine na maofisi mengine nao waingie humu wawe wanajibu hoja. Nmb hongera
Watu wanahofia maisha yanavyoenda kasi ndiyo maana wanafanya mambo yote haya
 
Hivi BOT wanatulinda vipi sisi wateja wadogowadogo wa hizi Bank za mitaani.?
 
Walipoangalia kwenye system yao walikwambia hizo pesa zimetolewa kwa njia ipi ? kupitia ATM au bank cashier au vipi a mahali au tawi gani ? hizi records wanazo hapo hapo bila kungoja siku 45. tunakuombea urudishiwe pesa zako.
 
Mkuu mimi nimeshajitoa kwenye hii Bank..wapigaji sana hawa makaburu..yaani nlikuwa nikiulizia bank statement wanazingua siku naipata nikashangaa kinoma..salio langu limebaki kidogo..nikakomaa nao kwa muda wa miezi miwili ndo wakairudisha..since then nikatoa mpunga wangu wote...
Wezi sana
 
Jmosi 08/11/14 niliangalia salio la akaunti ya NBC kwenye simu yangu na kukuta kimetolewa kiasi kinachofikia Tshs.2,100,000/=. Ilibidi nipige simu kwenye namba yao iliyopo kwenye kadi ya ATM niwaeleze tatizo la akaunti na kuiblock akaunti,wakaniambia niende moja kwa moja nilipofungua akaunti.
Siku ya leo nimeenda nikaomba bank statement,nikaona bank statement inaonyesha nilitoa pesa tarehe 07/11/14 hadi 08/11/14. Change kunishangaza mnamo wa hizo tarehe nilikuwa nimejipumzisha nyumbani peke yangu na mara ya mwisho kutoa pesa ilikuwa tarehe 04/11/14. Nikaipinga bank statement,wakaniuliza maswali yao na kuandika barua ya malalamiko.Wameniambia nikae siku 45 niondoe siku za wikiendi na sikukuu kwa ajili ya uchunguzi.
Nina wasiwasi na wafanyakazi wa benki wenyewe,hamna mtu yeyote anajua kama nina akaunti NBC zaidi ya wenyewe.Kuna mtu yeyote kishamtokea kitu kama hiki?

kwanini unaweka hela bank?!! ili iweje? mim pesa yangu yote naweka kwenye mfuko mweusi halafu naweka kwenye zizi la ng'ombe nachimbia afu namwambia wife tu na kijana wangu wa kiume basi maisha yanasonga.
 
Walipoangalia kwenye system yao walikwambia hizo pesa zimetolewa kwa njia ipi ? kupitia ATM au bank cashier au vipi a mahali au tawi gani ? hizi records wanazo hapo hapo bila kungoja siku 45. tunakuombea urudishiwe pesa zako.
Bank statement inaonyesha nimetoa kwa njia ya ATM ila wao hawajaniambia mara ya mwisho inaonyesha nimetoa wapi
 
NBC miyeyusho ndiyo nataka nifanye mpango nihamishe pesa zangu CRDB
Mkuu crdb nako sio salama, mimi hapa nina kesi kama hii Toka crdb, wiki mbili zilizopita nikiwa nyumbani ziliingia message mfululizo kuwa kadi yangu imetumika kutoa hela kwenye atm wakati kadi yangu nilikuwa nayo mfukoni na siJawai kumpa mtu! Nilipiga customer care ya crdb akapokea dada mmoja mpuuzi akadai labda mke wangu ndio katoa, wakati naongea nae ikaingia tena msg ya hela kutoka lakini yule dada kichwangumu akaendelea kusisitiza nimempa mtu kadi(pu..bafu zake), mbaya zaidi msg zilionyesha hela iliyotolewa ilikuwa sio figure kamili na ina points(senti) kumueleza akawa anaJichekesha tu, nimefuatilia benki nimeJaza mikaratasi kibao, kila unayemplekea anakuambia mwenzie amekosea aina ya karatasi linalotakiwa kujazwa, niliwawakia Baada ya kubadilisiwa karatasi za kujaza mara tatu, hadi leo hela haiJarudisHwa
 
Wizi umejaa kila kona
 
Pole ndg yng.....ila mimi hili la kukaa 45 dayz sikubaliani nalo....hawana namna ya kuharakisha huo uchunguzi
 
tulivyosema nbc inafiliska hamtukuelewa. Mlidhan ni porojo! Kesi kama hizi zitakuja nyingi hapa. Stay tuned
 
Jmosi 08/11/14 niliangalia salio la akaunti ya NBC kwenye simu yangu na kukuta kimetolewa kiasi kinachofikia Tshs.2,100,000/=. Ilibidi nipige simu kwenye namba yao iliyopo kwenye kadi ya ATM niwaeleze tatizo la akaunti na kuiblock akaunti,wakaniambia niende moja kwa moja nilipofungua akaunti.
Siku ya leo nimeenda nikaomba bank statement,nikaona bank statement inaonyesha nilitoa pesa tarehe 07/11/14 hadi 08/11/14. Change kunishangaza mnamo wa hizo tarehe nilikuwa nimejipumzisha nyumbani peke yangu na mara ya mwisho kutoa pesa ilikuwa tarehe 04/11/14. Nikaipinga bank statement,wakaniuliza maswali yao na kuandika barua ya malalamiko.Wameniambia nikae siku 45 niondoe siku za wikiendi na sikukuu kwa ajili ya uchunguzi.
Nina wasiwasi na wafanyakazi wa benki wenyewe,hamna mtu yeyote anajua kama nina akaunti NBC zaidi ya wenyewe.Kuna mtu yeyote kishamtokea kitu kama hiki?

Hasaraaa za kutumiaaa simbanking izoooo achaa kabisaaa si Akiba commercial bank walituvutiaa laki 7 wakasema imetolewa viaaa sim banking siku iooo ioooo tukavutaaaa pesaaaa iloo bak though bank manager aliongeaaa upuuuuz nakuiacha a/c mpaka leooo ilaaa kuna teller m1 mdadaaaa nikiiiingiaaa kufanya malippoo mengneyooo kama ada uwa ananpiga jichooo la uiz mara aaangalie chin maraaa aniangalie maraaa ankwepeshe na yeyee ndiooo alonihudumiaaaa kwa last deposit na ndiooo funguuu lilipunguzwaaa hapoooo nakusiiiiiiii achanaaaa na simu banking yakijingaaaaaaaaaaa
 
Nbc imeingia ubia na Bakray bank wateja wataibiwa sana.chungeni bakray bank inakata hela ya watu hovyo toka kwenye account.Kwasasa NBC imekufa laana ya Nyerere itamumbua Mkapa.
 
hyo hela ningekua mie km walinisaidia kutafuta sawa ila km nlihenya peke yangu ningeipata kabla ya wiki pumbavu zao
 
Nbc imeingia ubia na Bakray bank wateja wataibiwa sana.chungeni bakray bank inakata hela ya watu hovyo toka kwenye account.Kwasasa NBC imekufa laana ya Nyerere itamumbua Mkapa.

Baclays nliwah kutoa pesa kwny atm yao,lak3 ikaonexha nimetoa wakt ela haikutoka..
 
Hasaraaa za kutumiaaa simbanking izoooo achaa kabisaaa si Akiba commercial bank walituvutiaa laki 7 wakasema imetolewa viaaa sim banking siku iooo ioooo tukavutaaaa pesaaaa iloo bak though bank manager aliongeaaa upuuuuz nakuiacha a/c mpaka leooo ilaaa kuna teller m1 mdadaaaa nikiiiingiaaa kufanya malippoo mengneyooo kama ada uwa ananpiga jichooo la uiz mara aaangalie chin maraaa aniangalie maraaa ankwepeshe na yeyee ndiooo alonihudumiaaaa kwa last deposit na ndiooo funguuu lilipunguzwaaa hapoooo nakusiiiiiiii achanaaaa na simu banking yakijingaaaaaaaaaaa

Huu uandishi gani..!!!
 
Back
Top Bottom