Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 293
Pigana mpaka upewe pesa yako. Wakisha kurudishia, funga hiyo account. Kamwe usifungue account NBC.
Watanznia wote, fungeni account zenu NBC.
Mkuu mimi nimeshajitoa kwenye hii Bank..wapigaji sana hawa makaburu..yaani nlikuwa nikiulizia bank statement wanazingua siku naipata nikashangaa kinoma..salio langu limebaki kidogo..nikakomaa nao kwa muda wa miezi miwili ndo wakairudisha..since then nikatoa mpunga wangu wote...