Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,095
maukiddo,
Nimefanya kazi benk 2 na uwizi upo sema wewe hujui zinaibwaje.Na mishahara ya staff wa benki ni kawaida sana.wengi mnaringia hadhi za hizo benki!na mikopo ya riba nafuu,17% badala ya 21%.
ivi kuwa na gari na watoto wakali ni indicator ya maisha mazuri?mpaka mtu awe na stress?Sasa sisi tulio kweny level ya kutoa ajira kwa hao watoto wakali unatuweka kundi gani?
hakuna mijizi kn mifanyakazi ya benki tena wale waliosemea kabisa accountancy wanajua kucheza na dats vizuri nlikua na mdogo alikua benk fulani jamank alikua anaiba hela vibaya mno kila siku anarudi na laki nne mpaka milioni home
yaani huo ndo ukweli ni wezi sana watu wa benki wasikatae