Mkuu huyo jamaa alitaka kunipiga mm... Nalicho kumbuka ni hiyo picha ya Askari... Alikuwa anauza simu za samsung.. Mm pia alinitumia picha whatsapp pamoja na hiyo ya kitambulisho... Lakini nilishtuka kwa sababu picha alizo kuwa ananitumia za simu zilikuwa kama ni za ku gugo mkuu.. Hapa nikapata mashaka.. Nikaghairi.. Alisema yupo Iringa... Na ana magari yake ndani ya masaa saba nitakuwa nimepata mzigo wangu... Ngoja nitafute number yake .. Am sure bado ninayo maana nili i save Google mail... Pole sanaaa mkuu...
Asante mkuu mimi kanipiga 250 huyu jamaaMkuu huyo jamaa alitaka kunipiga mm... Nalicho kumbuka ni hiyo picha ya Askari... Alikuwa anauza simu za samsung.. Mm pia alinitumia picha whatsapp pamoja na hiyo ya kitambulisho... Lakini nilishtuka kwa sababu picha alizo kuwa ananitumia za simu zilikuwa kama ni za ku gugo mkuu.. Hapa nikapata mashaka.. Nikaghairi.. Alisema yupo Iringa... Na ana magari yake ndani ya masaa saba nitakuwa nimepata mzigo wangu... Ngoja nitafute number ako.. Am sure bado ninayo maana nili i save Google mail... Pole sanaaa mkuu...
yaa namba ndo hiyo hiyoMkuu nimeiona number aliyo tumia kwangu nii hii hapa... +255 788 570 586..
Alipost simu akiwa anauza.. Nikamcheck.. Na hiyo Number ndo ali ipost pale... Nakumbuka alikuwa anauza samsung A5.. Akidai anauza 250.. Nikamwambia upo wapi,, akasema yeye yupo Iringa bt mm nimtumie hela nusu then akanitumia mzigo ndani ya masaa saba Nishapata mzigo wangu.. Nikamwambia naomba ntumie picha ya hiyoo simu whatsapp .. Akanitumia..
Hapo ndo nikashtuka, kwa sababu ni zile picha za gugo then kama ame crop.. Nikawa na mashaka na biashara yake.. Hapo ndo akaanza kunivuta na kuniambia yeye askari si niwe na amani kwa usalama wa pesa yangu akanitumia na vitambulisho hivo...
Lakini roho yangu ilisha ingia mashaka....
Nikamwambia Asante mkuu.. Next time.. Tunafanya biashara...
Nikawa nimepona kuingia kwenye mikono ya huyo ngiri...
Dah pole mkuu... Nimesoma conservation hapo juu.. Seems like ni mtandao mkubwa tuuu....Asante mkuu mimi kanipiga 250 huyu jamaa
Nilimuliza wewe Ludewa unapokea vipi mizigo akasema inatumwa zanzibar yeye ndo anako pokelea na kupelekwa Ludewa inaweza kuwa ni mzanzibar huyo jamaaMkuu samahani kwa kuchanganya maelezo.
Kumbe muhusika hajasema ni wa jeshi gan mkuu.
Ila nilichong'amua kwa haraka ni kua huyo jamaa ana asili ya Uzanzibari kdg kwny matamshi yake,"shemeg" haitumikagi bara mkuu.
Na kila siku whatsap namuona Online huyu jamaa text anasoma lakini hajibu! na kila siku anapost vitu kupatanaDah pole mkuu... Nimesoma conservation hapo juu.. Seems like ni mtandao mkubwa tuuu....
Huyu ngiri atafutiwe solution.. Inavyonekana ndo tabia zake.. Na ameshakula za wengi sanaaa....
Mamlaka hasa TCRA polisi na mitandao husika wakiamua kutoa msaada huyu anakamatwa kama bataMkuu kama utaweza jaribu kufanya mawasiliano na mamlaka husika ili wajue yuko sehem gani haswa kupitia mawasiliano yake kisha wamtie nguvuni mkuu.
Inawezekana kawaliza wengi bila kubadili mbinu.
We jamaa vpHabarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa faida ya wengine nitaomba Uongozi wa Jamii Forum Uache huu uzi hapa ili watu wajifunze na wajue ili wawe makini, nitasimlia kila kitu na nitaweka ushahidi hapa
Mimi ni mmoja ya watu wanao tumia sana Application ya Kupatana katika kununua vitu,Siku za hivi karibuni niliona kitu cha ajabu kupitia kupatana niliona mtu anapost anauza vitu vya gharama kwa bei nafuu,Cha kwanza nilicho kutana nacho niliona akitangaza kuuza laptop Mackbook Pro,500 HDD,8GB RAM,CORE i7 kwa laki 2.5,pia laptop nyingine Mackbook ila ilikuwa na 1Tb hard disk kwa laki 4.5,nilishangaa na wala sikuamini amini nikaamua kumtafuta kwa kumcondact kupitia namba alizo ziweka Kupatana nikamtext akajibu,nikamuliza unauzaje hio laptop akaniambia laki 2.5 sikuamini nikarudia tena akajibu vile vile,nikamwambia nitumie picha akanitumia picha,nikamwambia wewe uko wapi akasema yeye yupo Njombe ludewa na nje ya biashara hii yeye ni askari! View attachment 329306View attachment 329307View attachment 329308View attachment 329309
Baada ya hapo niliamua kumtext whatsap ndipo alipo niambia kua yeye ni askari na anafanya biashara ya vitu hvyo na kunitumia vitambulisho vyakeView attachment 329310View attachment 329311
Hapo Nikawa na inamani kidogo ila wasi wasi wangu ulikuwa ni kwanini auze vitu vya gharama kwa Bei rahisi hivi? sikutilia maanani sana nikasema labda ni mtu mwenye shida ya haraka na pesa
Inaendelea
Mi mwenyewe na shangaa Mac book laki mbili ya wapi hata ya kichina sio laki mbiliWe jamaa vp
Macbook laki 2.5 ukakubali ππ
Uliyataka mwenyewe