Nimeibiwa Laptops mbili nyumbani

Msiri

Member
Jan 10, 2010
97
83
Da! Nimeibiwa laptops mbili hapa Ubungo Kibo, Dell na HP. HP imevunjika kipande mbele kushoto mpaka hard disk inaonekana, ila ndio ina data zangu muhimu.

Dell ina hard disk ya 1TB na HP ni 500Gb (kama nakumbuka vizuri). Ukiiona HP utaitambua kwa maelezo haya.

Mhusika naomba tu jamani baki na hizo laptops nirudishie data za hiyo HP. Masikini mie :( :(
 
Hakuna hizo video. Kuna picha za family events zingine za muhimu mno na wahusika wengine ni marehemu na ni mimi tu ndiye ninazo. So kumbukumbu zimepitea.
Vitu vya msingi sana jitahd kutunza mtandaoni hasa kwenye drivebox au email , mi hii ilishanikuta nilipotezaga laptop ilikuwa na kumbu kumbu zs msingi sana mpak leo inaniuma yaan , kuanzia hapo huwa natunza picha FB( only me) na kwenye email, vile vya msingi sana
 
Ushauri mzuri binafsi huwa nafanya hvyo pia huwa ni njia nzuri ya kutunza vitu
 
Da! Nimeibiwa laptops mbili hapa Ubungo Kibo, Dell na HP. HP imevunjika kipande mbele kushoto mpaka hard disk inaonekana, ila ndio ina data zangu muhimu...:(

Online backup, up to 1 T (auto syc) is less about $50/year...
 
Back
Top Bottom