Pole sana mkuu..maumivu ya kuibiwa nayajua!!Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
Asante nduguPole sana mkuu..maumivu ya kuibiwa nayajua!!
bajaji umeibiwa maeneo gani? je wewe unaishi maeneo gani? hiyo taarifa muhimu sanaWakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
Bajaj imeibiwa maeneo ya bunju maeneo ya shamsiya school njia ya kuelekea mbweni. Na mimi naishi maeneo hayo.bajaji umeibiwa maeneo gani? je wewe unaishi maeneo gani? hiyo taarifa muhimu sana
Zimeonekana track za tairi ya nyuma tu. Bajaj nyingi zimeibiwa kwa style hiyo.Ipo sehemu gani? Umejuaje imepakiwa kwenye carry?
Wapi huko?Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
Mbweni mpijiWapi huko?
Dah...Kuna carry moja sasa hivi imepita imepakia bajaji hapa barabara ya airport Mpanda, Katavi..Kwani wewe uko wapi?Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
Nipo DarDah...Kuna carry moja sasa hivi imepita imepakia bajaji hapa barabara ya airport Mpanda, Katavi..Kwani wewe uko wapi?
Dah...Ungesema mapema sasa...Umesababisha maelfu ya bajaji yaliopakiwa kwenye carry dunia nzima kusimamishwa na polisiNipo Dar
Mbweni Mpiji ni Kiharaka au Kiembeni au Mingoi?Mbweni mpiji