Nimeibiwa bajaj

Ishaselo

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
324
315
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
 
Pole sana mkuu..maumivu ya kuibiwa nayajua!!
 
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
bajaji umeibiwa maeneo gani? je wewe unaishi maeneo gani? hiyo taarifa muhimu sana
 
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nimeibiwa bajaj aina ya tvs ya blue yenye namba za usajili Mc 670 AYS.Wezi wameiiba usiku huu nyumbani wakaipakia kwenye carry. Atakayeiona anisaidie kuripoti pilisi au anipigie 0677319091
Dah...Kuna carry moja sasa hivi imepita imepakia bajaji hapa barabara ya airport Mpanda, Katavi..Kwani wewe uko wapi?:cool::cool:
 
Ndugu! umetoa ripoti polisi? jitihada zaidi uliyofanya kuhakikisha unaipata hiyo bajaj je?
 
Back
Top Bottom