nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,379
- 3,152
Kuna jamaa anadai ameiokota sa 7 usiku wakati nimeibiwa nyumbani kwangu, anadai nimpe 25000 ili anirudishie leo siku ya 2.
nikisha kata RB nini kinafuataa? nani anapaswa amkamate mwizi?Bure
kufaidika tenaKariport umeibiwa. Na waambie scenario. The rest wataangalia kama wanafaidika.
cha kuokota kwa vip bossHivi katika methali hizi kati ya wew na yeye nani yupo shahihi.
Aliyeshikwa na ngozi ndiye aliyekula nyama.
Chakuokota si Cha kuiba mwenye mali ni mjinga.
Ww ndo unatakiwa ukamshike huyo mwizi, sasa huyo mwizi akakupige makofi huko polisi wenyewe watacheka 😂nikisha kata RB nini kinafuataa? nani anapaswa amkamate mwizi?
Acha usenge, tunatengeneza taifa gani!?,. Ukiibiwa mtaani pambana mtaani hata mwezi mmoja au zaidi, kwahiyo unatafuta mwizi online!??.., watoto wa elfu 2 asilimia 95 hamna akili..cha kuokota kwa vip boss
anipige makofi kwa kosa gani?Ww ndo unatakiwa ukamshike huyo mwizi, sasa huyo mwizi akakupige makofi huko polisi wenyewe watacheka 😂
nipambane nisitoe taarifa polisi?Acha usenge, tunatengeneza taifa gani!?,. Ukiibiwa mtaani pambana mtaani hata mwezi mmoja au zaidi, kwahiyo unatafuta mwizi online!??.., watoto wa elfu 2 asilimia 95 hamna akili..
Hivi katika methali hizi kati ya wew na yeye nani yupo sahihi.
Aliyeshikwa na ngozi ndiye aliyekula nyama.
Chakuokota si Cha kuiba mwenye mali ni mjinga.
Upo sahihi mkuuHiyo ya chakuokota ni misemo ya watu wajinga.
Polisi hakuna kitu chenye thamani unachoweza kukiokota kisiwe cha wizi kama hujaripoti.
Ukikamatwa huwezi sema uliokota utaitwa mwizi na sheria huchukua mkondo wake
Hapa ndio POLICE!?.., unahisi jamii forums itakusaidia kupata baisikeli yako!?..nipambane nisitoe taarifa polisi?
😂Kaiokota wapi huyo chizi.
Umenikumbusha mbali kinoma, kuna chizi mmoja aliokota pikipiki tulimcharaza shiboko hadi akasema alipoitoa.
Hapo kakate RB Polisi afu kamkamate hata na migambo kama unamwogopa.