Nimeibiwa 245,000/= MPESA VODACOM

Nimeibiwa 245,000/= MPESA VODACOM

Nilipigwa elf 3 airtel money, asubuh subuh nilikodi tax elf 10 mpk moroco nikapewa elf tatu yangu, kumi ya nauli na tano ya usumbufuuu,
sio km ninanjaa sana ila haki yangu haipoteag kirahsi na ningeacha wangeleta mazoea, na sitak mazoea na nntoto ya ntu
 
Kuna mambo hapa ya kuweka sawa!
1.Je simu card yako imeswapiwa ???

2.Je umewahi kuinstall Mpesa app kwenye simu yeyote?????

3.Je umewahi kushare na mtu password yako??

4.Je Password yako ni namba ya kuzaliwa kwako???

Jibu kwanza haya t
NO 4.... Namba ya kuzaliwa kwako unamaanisha nini kiongozi?? Namba ya kwenye kitambulisho cha taifa au?
 
Back
Top Bottom