Nimeibiwa 245,000/= MPESA VODACOM

Matter ni namba ya siri mkuu.... hii app me naipenda sana sababu nakumbuka kuna kipindi nilikuwa natoa hela kwa wakala hata kama line yangu ipo mbali....
Kama mtu anashindwa kutunza namba yake ya siri there is no way anaweza kusaidika....
Ni kweli mkuu, ila kuna watu kutunza namba zao za siri kama haiwezekani vile, mfano wazee vijijini huko wametumiwa visent, wakienda kwa wakala wanamtajia na namba ya siri kabisa. Na wao hawana uelewa wa hii Mpesa app, ndio maana nikajaribu kutoa pendekezo kama hilo, maana mambo kama hayo hayaepukiki mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu simu ilijibonyeza menu, ikachagua toa pesa, ikajiingiza namba ya wakala na ya siri na ikathibitisha? Itakuwa simu ya maajabu
Itakuwa techno kama ya Mwajuma mhudumu wa Makuti bar, Bunju
 
yafaa waongeze security kwenye hiyo app.. kabla ya kutoa comfirmation code ni muhimu itumwe kwenye no ya muhusika
 
Aisee pole
 
Niliwahi ibiwa NBC mil 10 yani mpaka leo sijazipataa..[emoji22][emoji22]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu simu ilijibonyeza menu, ikachagua toa pesa, ikajiingiza namba ya wakala na ya siri na ikathibitisha? Itakuwa simu ya maajabu
imejbonyeza bahati mbaya c unajua tena shetan akitaka kufanya yake
 

Kuna mambo hapa ya kuweka sawa!
1.Je simu card yako imeswapiwa ???

2.Je umewahi kuinstall Mpesa app kwenye simu yeyote?????

3.Je umewahi kushare na mtu password yako??

4.Je Password yako ni namba ya kuzaliwa kwako???

Jibu kwanza haya t
 
pole
 


Si wamo humu Jf Vodacom Tanzania
 
apo badilisha namba ya siri...hiyo pesa hutoipata...kuna mtu wa karibu anajua namba yako na namba ya siri...ana M-PESA app..Voda hawatakusaidia chochote zaidi ya kujifunza kuto expose namba yako ya siri ....
 
Mm nina jamaa hapa ofisi moja, kuna mtu mkoani akatumia 300,000 ili wanunulie kitu. Kwenye saaa tatu hivi jamaa akaitoa ile fedha, ilipofika kwenye saaa tano jamaa a kamwambia nataka niongezeee na kitu kingine ndipo alipotuma60, 000.
Baaada ya muda akaja mteja akasema nataka malipo nikutumie Kwa tigo pesa ndipo alipo patina number Ila jina likatoka tofauti kabisa, ndipo akamuuliza wewe hili jina lako, kuangalia kweli jina sio lake, tunaangalia fedha ishatolewa
Simu unayo wewe ,hela inatokaje bila wewe kuitoa?
Kikulacho ki nguoni mwako
 
apo badilisha namba ya siri...hiyo pesa hutoipata...kuna mtu wa karibu anajua namba yako na namba ya siri...ana M-PESA app..Voda hawatakusaidia chochote zaidi ya kujifunza kuto expose namba yako ya siri ....
Mpesa app haifanyi kazi kama huna lin husikA tena uweke sim 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…