nimeiba mpenzi wa mtu

nimeiba mpenzi wa mtu

kawaida hiyo kwenye ulimwengu wa mapenzi ,,,,,,,,,,,,,
usizidi kumpotezea , mwambie ukweli mtoto wa watu au mteme kimya kimya kama huna ujasiri wa kukabiliana na ukweli.
 
Utamkoma, kama ulijua hautaki kuwa nae forever y ulimuaribia?

Bora umwogope yeye maana wengi uwa wanalipiza. Utakomaje basi?

Wewe unajua mwenzako alikuwa nae vipi binti huyo?

Ila kama unampenda kuwa nae usingeogopa eti nayeye atakufanyizia. Ingekuwa hivyo basi wengi wasio bikira wasingeolewam
 
Aman kwenu,,

tulianza kama 'just friends'
bada ya outing mbili
mwanume nikafunguka
nikaambiwa am in 'no no zone' coz ana mtu wake,
bas sikukata tamaa
outing baada ya outing
siku ikafika outing hadi bed baada ya heavy drinking and partying hard (thou me nilkuwa fit cause i planned everything)
binti kuamka yupo kifuani
basi tukaliendeleza since then
penzi la wizi likanoga binti hamtaki tena jamaa yake(nilwahi argue na jamaa over the phone wakati penzi lao ndo linaelekea kufa jamaa alitishia hadi kuniuua but hadi leo kimya)
thou mwanzoni nilifurahii
but now nmerealize siwez ku settle coz nakuwa insecure mostly
nisipokuwa naye,
naogopa kilicho mkuta mwenzangu na mim kisije nikuta
nikapanga kumtia kidochi kimya kimya
nikapunguza mawasiliano na outing za kila week
but mtoto bado moto haushuki

am guilty kwa kuvunja penzi la watu
but sio dem wa maisha yangu pia,
nafikiria njia gani rahisi ya kuachana naye ili kusiwe na hard feelings

plz mawazo yetu wadau niwezeachana na huyu binti peacefully

Mpenzi wako akija akiliwa siku moja tu utamkataa kwa sababu ameshafanywa mbovu, lakini kwa huyo hukuona tatizo huku akijua kabisa alishaliwa! Jee wakati unajitahidi umpate mpaka ukamlewesha hukujua kwamba mwanaume mwenzako ataumia??? subiri kupokea consequencies!!!! (ndio maana mafundisho ya kiislam yanasema "ulevi ndio baba ya maasi yote" ukishalewa vingine vyote vinafuata kirahiisi...)
 
Kaka u r nt Guilty @ ol mana everytn happen for a reason na huyo msichana umempa faraja ya moyo mana kule alipokuapo Jamaa alikua hamtreat well n gd n wewe ulikua unafanya hvo na kumpa nafas ya kua huru na wewe mana sisi wanaume muda mwngne tukiwa na msichana hata mkifika sehem akitaka kununua kashata njian unamfokea mbele ya watu yl akiwa na wewe unakua free na anajua nafas yake kwako na haogop kudo au kuexpress anachokihii kwako au alicho na hamu ya kufanya kama hapo nliposema kununua kashata ila sikushaur kama muendelee tena na mambo ya sex mana uhusiano wenu utakua wa tamaa tu na nakuahidi kua hautodumu muda mref mana tamaa ya ngono ikiisha basi hamna mapenz tena.
Ni ushauri tu Kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom