Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,118
173,953
Habari wadau,
Aisee hiki kimekuwa ni kipindi kizito sana katika sehemu ya maisha yangu baada ya kujikuta nilimuangukia kimapenzi mtoto mmoja ambaye alitokea kunielewa sana kipindi naanza 1st year,

kiukweli mipango ilikuwa mingi throughout the relationship maana alikuwa ni wife tirio from the first impression. Naye alikuwa mwaka sawa na mimi ila Program tofauti so tukawa tunaenda sawa mpaka ilipofika 2nd year mwisho wa semister 1 ambapo nilipatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nikatakiwa kusitisha mwaka wa masomo hali iliopelekea mi nayeye kuwa mbali kwa muda wa semister iliofuata.

Kiukweli nilikuwa namuamini sana ila kwa kuzingatia ile notion ya kuwa distance huwa inaleta shida kwa wapenzi hata muwe mmependana vipi nikaamua kumuwekea bug kwenye simu yake ili nihakiki msimamo wake kwangu.

Kwa muda wote wa semister ya pili ambayo nilikuwa sipo hakukuwa na rabsha yeyote ukizingatia nilikuwa nina monitor logs zake bila ye kujua haikuwa shida ila kuna wakati alikuwa anataka kuyumba nikamkanya ndipo hapo akajua kujua kuwa naona logs zake.

Haikuwa shida maana she was into me na alikuwa ananitii na kuwapotezea hao watu wanaomendea mzigo, mara nyingine aliniambiaga kabisa juu ya hao watu.
Tulikuwa so intimate kidume nikawa hadi naskia raha na wanangu walikuwa wana appreciate behaviour ya shem wao kila walipokutana nae na pia coz nilikuwa natulia nae mageto so walikuwa wakija geto kama nyumbani. Pasafi yani dogo anawajibika balaa.

=============================
**Ep2
Dogo kipindi sipo alikuwa mpweke sana na nilikuwa namcomfort ifahamike pia alikuwa na marafiki zake wa karibu ni classmates ila hao mademu walikuwa opposite sana nayeye kitabia.

Nilikuwa namshauri azingatie hilo asije kuiga tabia zao kwa hivyo akawa anajicontrol maana anajua sipendi na vile nipo around ikawa rahisi. Wenzake ni watu wa outing na starehe sana ila yeye ni mtu wa kutulia ndani kama hana ishu ya maana so sehemu kubwa ya muda wake aliitumia kwangu na shule tu.

Kitu ambacho sitaki kuamini nadhani baada ya mie kuwa sipo her friends took most of her time na taratibu walianza kumfeed na mindset tofauti kabisa na taratibu akaanza kubadilika na kuiga tabia zao.

Though tulikuwa tukiwasiliana vizuri kwa kipindi chote hicho ila nadhani ndio mambo yalipoanza kuvurugika. Alikuwa ana freedom sana. Mpaka semister inaisha tukawa tumepanga nitaporudi chuo tukatulie wote, dogo alitafta rum nikailipia kama sehemu ya mpango wetu.

========================
**Ep.3
Baada ya mwaka kuisha nilipanga kurejea chuo ili ni resume studies ambapo yeye angeingia 3rd year mi nikianza 2nd year upya.
Ghafla nilianza kuona mabadiliko katika mawasiliano mwezi mmoja kabla ya kufungua chuo.

Akawa hanitafuti mpaka nimpigie. No sleep well wala g.mornings without any real reasons. Ilikuwa ni baada tu ya yeye kurudi chuo one time kwa week moja ya supplementary. Kipindi hicho nilikuwa nipo tight na kazi nilipata tempo moja Mbeya. Nikawa na struggle pia na swala la mawasiliano yetu.

Nikaanza fuatilia kiini cha tatizo nikaja ona kuwa dogo alikuwa na njemba inamzuzua. Nikampa warning akawa hasikii. Nikaja kutoa ultimatum kwamba its either me or the guy achague moja. Akaniteua mie. Baadae nikaja kujua kwamba jamaa ni colleague wa PGD pale chuo na alimtokea kipindi cha sup ndio akaanza kumpa goodtime.

============================
**Ep.4
Baada ya mie kumzingua dogo akaelewa niliamua kupotezea hilo la
yeye kudate na jamaa nikiwa na hope tukirudi soon tutakuwa wote under the same roof so haitakuwa shida ku monitor movements zake na hata mawasiliano yake maana pia nilimpiga ban kuwasiliana tena na huyo njemba.

Cha kushangaza ile thrill alokuwa nayo dogo kuhusu kuishi naye ilipungua na akawa mzito sana akidai eti anaona tuishi separate places ili kusudi tusigombane tena kisa contact na ex gf. Maana mwanzoni ex wangu alikuwa around na ana contact na mimi kirafiki tu ila dogo tukawa tunazinguana sana juu ya hilo.

Ila this time around nilikuwa nishaacha mawasiliano na ex kabisa ili dogo awe na amani yote tusiwe tunalumbana tena. Nilishangazwa sana na hio attitude yake towards sisi kuishi pamoja tena ila nilimshawishi zaidi mpaka akakubali.

===============================
**Ep.5
Baada ya kufungua chuo dogo amekuja tayari mazingira nilishaandaa maana nilitangulia kufika. Tumeanza kutulia wote freshi tu, taratibu nikashangaa attitude yake kwangu imebadilika mno kiasi cha kwamba ni kama hatujuani.

Yani dogo response yake kwangu ikawa so cold and harsh pia akawa ana complain juu ya vitu vidogo dogo ile sio kawaida. Nikawa najiuliza nini shida kimoyo ila sikusema lolote. The moment nimeanza kumuuliza kuwa mbona simuelewi yani ina maana kila kitu nachofanya sio kizuri ni lawama tu.

No intimacy wala affection yani muda wote ugomvi tu akawa anadai eti nalalamika sana. Sijakaa vizuri yule jamaa niliemwambia asi contact nae akawa anawasiliana nae ghafla. Kuuliza kwa nini hakuwa na jibu ila kuniwakia kuwa huyo jamaa ni rafiki tu tatizo naji stress sana.

Akaenda mbali akachukua simu yangu ya kitochi akawa anawasiliana nae kisiri baada ya kuona nimemaindi yeye kukiuka agizo langu.

==============================
**Ep.6
Baada ya kuzinguana na dogo juu ya hiyo njemba yake akawa so defensive. Anaona ninambana bana sana mara et ndio maana sikutaka tuishi wote ili tusigombane.

It went further akawa mkaidi mno ikumbukwe nilidukua mawasiliano yake hivyo niliona romantic texts zake wakitumiana na hio njemba alionidanganya kuwa ni rafiki yake tu toka mwanzoni pale. Na ndio kisa cha kumwambia urafiki wa hivyo hapana, cut off contacts na huyo jamaa.

As time ilivyoenda nikazidi kugundua mengi juu ya ile sababu yake ya kugoma kukaa under one roof na mimi. Kumbe yule mpenzi wangu ambae nilimuacha mpweke kwa masikitiko makubwa alishabadilishwa na wale marafiki na kuwa kama mbwa sasa.

Alishafundishwa facebook, instagram. Yani kilichofuata ilikuwa ni mlolongo wa kauli za kejeli na dharau mpaka kufikia steji nikawa najiona kama sio binadamu. Yani binti alizidi kuwapanga huko facebook ndio ikawa eneo la kugawa namba kwa watu aliofahamiana nao zamani wengine ndio wapya.

Kila siku ni mtu mpya na mbaya zaidi dogo akawa hachomoi. Mpaka kufikia stage nikaona isiwe shida, nilianza kumtia makofi ili walau nyumba iweze kukalika maana hata shule ilikuwa haipandi.

Full stress na mtoto nilimpenda kumoyo, i did alot for her since tumeanza freshly 1st Year ila amekuja badilika this late. Yupo 3rd year now i've almost wasted 3 good years. Nimeamua kushea nanyi hii story ili wenye watoto chuo mtie maji mwenzenu nshanyolewa hivyo.

Hitimisho, niliona isiwe tabu nikaamua kujipunguza kimya kimya ingawa roho iliniuma mno. This was my groundshaking heart-break ever. Jamani Wakiumeni wenzangu nimejifunza hakuna haja ya kumuamini mwanamke hata awe mzuri kama malaika.

You will save yourself a severe headache mbeleni. If you ought to love then dont put up with any expectations.
 
"Gwigwa gwa m'bhulu m'paga mininga"
(kusikia kwa kenge hadi zimtoke).
Vijana kila siku tunawaambia msiwaamini hawa viumbe ni wadhaifu hata
nyani anawajua; wanahitaji kukunwa kila muda, kama siyo kukunwa wanataka mwanaume wa maonesha kwa friends kuwa nae ana boyfriend. sasa bwege jikalie huko Idukilo wakati demu wako yuko DSM chuoni; 'ugumishiwa nengala'.
 
Back
Top Bottom