judge not
Kuna siku nishwahi andika hapa kuwa, MMU huwa haitoi ushauri kwa wazinzi.
Hata siku moja mtu mwenye nia ya kuacha jambo baya huwa haulizi namna gani ya kuliacha jambo hilo, bali huchukua maamuzi magumu au huwajibika.
....yaani ile kuhadithia mwanangu ...nawakamua....mwanangu nmechukua demu wa mshkaji.....mwanangu mimi kijogo.....nmemaliza mtaa....siunajua zile sifa za vijiweni...?Wati didi yu mini mkuu??!
....yaani ile kuhadithia mwanangu ...nawakamua....mwanangu nmechukua demu wa mshkaji.....mwanangu mimi kijogo.....nmemaliza mtaa....siunajua zile sifa za vijiweni...?
afu mshikaji hujaacha uzinzi tu?subiri kidogo,atakuja kubebwa kama wewe ulivyombeba kutoka kwa jamaa.dem mwenyewe anaonekana msimamo 0,anakuganda kwa sababu tu anajua ameshaharibu kwa jamaa yake.ila ulichokifanya sio
true dem keshaharibu atakufa na mshkaji, ila kamanda ajiandae kula maumivu bidae
huo ni ushauri au kuombeana mabaya