nimeiba mpenzi wa mtu

nimeiba mpenzi wa mtu

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
Aman kwenu,,

tulianza kama 'just friends'
bada ya outing mbili
mwanume nikafunguka
nikaambiwa am in 'no no zone' coz ana mtu wake,
bas sikukata tamaa
outing baada ya outing
siku ikafika outing hadi bed baada ya heavy drinking and partying hard (thou me nilkuwa fit cause i planned everything)
binti kuamka yupo kifuani
basi tukaliendeleza since then
penzi la wizi likanoga binti hamtaki tena jamaa yake(nilwahi argue na jamaa over the phone wakati penzi lao ndo linaelekea kufa jamaa alitishia hadi kuniuua but hadi leo kimya)
thou mwanzoni nilifurahii
but now nmerealize siwez ku settle coz nakuwa insecure mostly
nisipokuwa naye,
naogopa kilicho mkuta mwenzangu na mim kisije nikuta
nikapanga kumtia kidochi kimya kimya
nikapunguza mawasiliano na outing za kila week
but mtoto bado moto haushuki

am guilty kwa kuvunja penzi la watu
but sio dem wa maisha yangu pia,
nafikiria njia gani rahisi ya kuachana naye ili kusiwe na hard feelings

plz mawazo yetu wadau niwezeachana na huyu binti peacefully
 
afu mshikaji hujaacha uzinzi tu?subiri kidogo,atakuja kubebwa kama wewe ulivyombeba kutoka kwa jamaa.dem mwenyewe anaonekana msimamo 0,anakuganda kwa sababu tu anajua ameshaharibu kwa jamaa yake.ila ulichokifanya sio
 
braza ndo nataka kujitoa humo
 
Kuna siku nishwahi andika hapa kuwa, MMU huwa haitoi ushauri kwa wazinzi.
Hata siku moja mtu mwenye nia ya kuacha jambo baya huwa haulizi namna gani ya kuliacha jambo hilo, bali huchukua maamuzi magumu au huwajibika.
 
Kuna watu mpaka sasa ...wanaona ni sifa kufanya mapenzi na mademu....
 
subiri na wewe watu wamfanyie demu wako ili kubalance equation
 
Sasa unajuta nin wakati ulikuwa unajua ana mpenz wake ila wewe ukamforce akukubalie? Haya jamaa kakuachia huyo ndo ukae nae unataka kumkimbia tena wakat ushamuharibia kwa mpenz wake wa awali?
 
braza ndo nataka kujitoa humo

Unapofakamia misosi kama bata pia fikiria zigo utalinya wapi...
Haya utuambiayo sasa ni majuto na uamuzi wa kuyakwepa haya ulipaswa ufanye day 1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom