Nimehonga 675,000 Tsh halafu nimeingizwa mjini

Nimehonga 675,000 Tsh halafu nimeingizwa mjini

If a fools deceives you once, shame upon her/him
If a fool deceives you twice, shame upon youuuuuui.....!!!
 
Si mjinga inategema na kipato chake, aliyehonga 700,000 na ana kipato cha milioni 10 kwa mwezi ni pesa ya kawaida iwapo ni demu wake maana ni kama 9% ya kipato chake na atakuwa kahonga pesa ndogo kuliko polisi au mwalimu ahonge 50,000 katika kipato cha 350,000

Nasikia we kuhonga ukijitahidi sanaa ni 20000!!!!!!
 
Bado mnadate na madem wenye njaa kali? Kweli tumetofautiana sana
 
Pole sasa mbona umekimbilia huku kwani ndo kuna msaada. Huenda simu yake haina chaji vumilia then potezea watu wanahonga mabangaloo sembuse hiyo. Take it easy tafuta manzi mwingine.
 
!
!
komaa nae akulipe kinamna yoyote ila...ikiwezekana hata kwa kustage mtungo ili aongezeke kina na kipenyo cha kigegedwa
 
Hahaaa ww walalamika umepigwa laki sita tu??? Akati wenzio million kazaaa teh teh
 
usirudi mkoani bila kupewa chako.........

mfanyie surveillance ujue mienendo yake, ukimpata kwenye week zone kwake halafu umtaitishe akupe chako au umpe kitu inauma............
Acha tu arudi Mkoa best kabla hajapukutishwa mpaka nauli au kuvikwa tairi akachomwa akishaitiwa mwizi!!!
Wajinga ndio waliwao
 
Yabidi iundiwe tume kutngenza thread yake...

Wote huwa tunachemsha mkuu. Nadhani atakuwa ameanza kujifunza kutokuwa na wanawake wengi, kwani wengine ni majambazi. Lakini pia inawezekana safari nyingine akipost atafanya vizuri.
 
Acha tu arudi Mkoa best kabla hajapukutishwa mpaka nauli au kuvikwa tairi akachomwa akishaitiwa mwizi!!!
Wajinga ndio waliwao

ila inauma , Jamaa kakubali kuliwa kirahisi rahisi namna hii Besti..........
 
Mzee tafiti,

Hapa tunajadili issues muhimu za nchi, hizo hoja zako kaweke kwenye mabrasha, sio hapa please hapa tunawapiga mawe marafiki zako wezi wa nchi yetu bro,

kuhusu kilio chako, ninarudia kuwa hiyo familia haitaki hizi publicty za watu kama wewe, wazandiki wa London kazi kupika majungu tuuu, haya sasa kamsaidie rafiki yako Ditopile maana ana akili kama zako za kutaka kusikika yeye tu, na kuona watu wengine wote hawana maana ila yeye tu na wewe kwa maneno yako ni clear kuwa ni wale wale kina Ditopile, kaka wa dada harusi yuko hapa, kwa hiyo nisingependa kuendelea na huo mjadla wako wa harusi maana ni NONESENSE!

kule NY majungu yako umeacha watu wote hawaelewani, na hapo ubalzoi London tayari umeshaanza majungu tu, fanya kazi bro! Hizo za klagha baho, ni frustrations za watu kama wwe waliojaribu kila njia kunijua ili wanishiatki kwa wakuu wao wa kazi kina RO, wameshindwa, nilisema toka BCS hatakuja anijue mtu bro, maana wewe ulikolalia ndiko nilikoamkia! Halafu wewe ni ngoma ndogo, mimi ni ngoma kubwa, huwezi kitu bro!

next time weka upuuzi wako kule mabrasha sio hapa ambapo Mkandara anaweka somo, tunajua hawa kina Regemalira ni marafiki zako, wewe ni bota tunajua uko hapo London ubalozini, juzi umeeenda bongo umenyimwa cheo, tena jama pale wanasema utakaa huko nje mpaka ufe hawakutaki bongo kwa sababu ya majungu yako na uongo mwingi, ukitoka kituo chicho next ni Moscow, hutarudi bongo zaidi ya likizo tu bro!

This forum is ok, ni usalama mbuzi kama wewe ndio mnaotaka kuiharibu, kazi yako ni kutulinda sisi raia sio kuja kututisha kwenye forum, Mzee Mkandara weka somo hapa bro, huyu jamaa kama kawaida yake wameshamtuma kuja kuharibu mada huyu!

That was small money worry out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom