Msaada wa kutoa lock au Password

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
478
250
Mama yangu ana nokia C7 sijui hata alichokifanya ila inaitaji password ili simu iwake naombeni msaada wenu wa jinsi ya kuitoa hii password hapa maana nimejaribu kubonyeza cha kuwashia + home button + volume down then volume up bado ikagoma kama.kuna mtu anaujuzi naomba msaada wake.

N:B Kuna wale wazee wa kupenda kuwa negative tu kwa kila jambo ukweli simu hii ni ya mama asanteni na karibuni kwa michango ya mawazo yenu.


IMG_20210417_181053_950.jpg
IMG_20210417_185822_943.jpg
 

bokilo

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
430
1,000
Mwulize vizuri maana haiwezekani simu iingie lock yenyewe.
Kama hiyo simu haijawahi kubadilishwa password tangu inunuliwe jaribu kuweka 1234
 

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
478
250
Inshort na hisi ameweka password lakn kama unavyojua akili za mama zetu amesahau hvyo ana mlalamikia kipa mtu anayemuona yeye ambaye alishika simu yake hiyo 1234 nimejaribu mzigo umekataa
 

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
478
250
kuset simu iwe na lock ni process karefu, mantiki ya kusema imejiweka lock yenyewe haingii akilini

ushauri: wizi sio mzuri
comment kama hz zimechelewa kwel kweli ni kweli uwizi siyo mzuri mbona sigara siyo nzuri na bado watu wanazivuta tu haujui hata mke wa mtu cyo mzur lakini bado watu wanakula kwa hyo asante kwa ushauri wa uwizi ila bado nitaendelea tu
N:B Angalia wa kumwambia ni mwizi tena kwa nokia C7 mwaka 2010 dukani hazidi elf 60 na uwakika huo mtaani elfu 20 elfu 10
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom