Ngongo tatizo la maji kwa arusha halipo njiro peke yake, toka mwezi sept arusha kuna tatizo kubwa la maji. Mabomba yanatoa maji mara moja kwa mwezi au kwa miezi miwili.
Wakuu leo nimetimiza miezi miwili tangu nihamie Njiro kwa Msolla.Njiro ni sehemu ambayo imepangika (imepimwa)bila shaka hii ni sababu kubwa iliyonivutia kujenga hili kukwepa hadhaa ya msongamano kama maeneo ya Ungalimited,Kambi ya Fisi na Sombetini.
Leo pia nimetimiza miezi miwili kamili bila huduma ya maji AUWSA kila nikirejea nyumbani nalazimika kubeba maji ndani ya gari kwaajili ya matumizi ya nyumbani.Nimejaribu kuuliza majirani na marafiki kadhaa wote kilio ni maji Njiro ni sehemu nzuri sana lakini maji ni tatizo kubwa ambalo linahitaji jitihada madhubuti kukabilina nal😵ngezeko la watu eneo la Njiro na Arusha kwaujumla haliendani kabisa na uwekezaji katika sekta ya maji.Mamlaka ya maji imekuwa imezidi kuwa hovyo tangu Mkurugenzi Mtendaji Eng Asili Munisi astaafu kazi kwa mujibu wa sheria.Chanzo kikuu cha maji mji wa Arusha ni mto Themi na mto Nduruma pamoja na visima virefu vichache sana bahati mbaya hakuna uwekezaji wa maana unaoendana na ongezeko la mahitaji.
AUWSSA Mamlaka ya maji jijini Arusha badala ya kuwekeza kwenye uchimbaji wa visima na mabwawa kwaajili ya kuhifadhi maji wakati wa mvua wameamua kujenga jengo refu kwaajili ya maofisi na kununua magari mapya [Mashangingi] kwaajili ya maofisa wake warasimu.
Naomba kuwasilisha.
mkuu, chimba kisima, ndio njiro tunavyoishi..of course hata mm napoa mitaa hiyo hiyo nyuma ya radio 5.Wakuu leo nimetimiza miezi miwili tangu nihamie Njiro kwa Msolla.Njiro ni sehemu ambayo imepangika (imepimwa)bila shaka hii ni sababu kubwa iliyonivutia kujenga hili kukwepa hadhaa ya msongamano kama maeneo ya Ungalimited,Kambi ya Fisi na Sombetini.
Leo pia nimetimiza miezi miwili kamili bila huduma ya maji AUWSA kila nikirejea nyumbani nalazimika kubeba maji ndani ya gari kwaajili ya matumizi ya nyumbani.Nimejaribu kuuliza majirani na marafiki kadhaa wote kilio ni maji Njiro ni sehemu nzuri sana lakini maji ni tatizo kubwa ambalo linahitaji jitihada madhubuti kukabilina nal😵ngezeko la watu eneo la Njiro na Arusha kwaujumla haliendani kabisa na uwekezaji katika sekta ya maji.Mamlaka ya maji imekuwa imezidi kuwa hovyo tangu Mkurugenzi Mtendaji Eng Asili Munisi astaafu kazi kwa mujibu wa sheria.Chanzo kikuu cha maji mji wa Arusha ni mto Themi na mto Nduruma pamoja na visima virefu vichache sana bahati mbaya hakuna uwekezaji wa maana unaoendana na ongezeko la mahitaji.
AUWSSA Mamlaka ya maji jijini Arusha badala ya kuwekeza kwenye uchimbaji wa visima na mabwawa kwaajili ya kuhifadhi maji wakati wa mvua wameamua kujenga jengo refu kwaajili ya maofisi na kununua magari mapya [Mashangingi] kwaajili ya maofisa wake warasimu.
Naomba kuwasilisha.
Nikupongeze kwanza kwa kuwa na kwako tena Njiro bila shaka umetumia jasho halali kusimamisha mjengo.
Nikupe pole kwa kukosa huduma ya maji, sijui kama ulifanya tathmini ya kina kabla ya kuamua kujenga njiro, huenda ungegundua mapema kwamba kuna tatizo hilo na kujipanga namna ya kulikabili.
Hata hivyo bado una nafasi ya kuwasiliana na AUWSA ili kuhakikisha kwamba wanaweka mkakati maalum wa kuwawezesha kupata maji huko njiro.
Next time nikija arusha nitakuja kukusalimu, kama unatoa mialiko/makaribisho kwa wanaJF, hasa wale msiofungamana kiitikadi!
Lowassa kachukua maji ngaramtoni kapeleka monduli watu wa ngaramtoni ndoo moja mia tano hawana maji
arusha huwa siwaelewi kabisa
Mpangaji kashahamia mkataba wake ni mwaka mmoja !.
Hivi hayo maji ya Arusha si yale yanaoyharibu meno? Nimeuliza tu sina nia nyingine
Maneno Mbofumbofu! Mr Ebbo(r.i.p):Hivi hayo maji ya Arusha si yale yanaoyharibu meno? Nimeuliza tu sina nia nyingine