Nimehamia Chadema rasmi bila shuruti bila kuombwa

Nimehamia Chadema rasmi bila shuruti bila kuombwa

CCM wamepotea tangu 2005 na bado hawataki kurudi nyuma kuanza upya.

NIONAVYO MIMI WANACCM WENGI HAWANA AKILI SAWASAWA WAPO KUFUATA VYEO TU.
Una maana waliopo mchagua JK tu chama kikapoteza dira?
 
Heshima yangu, huruma yangu na upendo wangu, na utii wangu kwa mwalimu Adamoo na wenzake nimewiwa kuwa official opposition member, Hekima, Busara, Ukamavu wa Mbowe umenigusa sana. Popote pale wakati wowote ule wanachadema tuaongea mengi.

No fear No hate
Umechelewa sana kufanya hivyo. Hata hivyo karibu sana, ondoka huko gizani
 
Back
Top Bottom