Nimegunduwaa..!!

Ndo maana mi cpendi kugundua kama ugunduzi wenyewe wa kibongo ndo wa style hii
 
Nimegundua mtu akikata gogo(ak***ny) polini lazima ageuke kuangalia mzigo wake alioshusha.
 
nimegundua mume mtarajiwa na mwanajf bt ye hajanigundua. . .
 
Nimegundua NO MAN IS HERO TO HIS WIFE
 
Nimegundua watoto wote wanajua ukiwa mkubwa lazima utakuwa na pesa
 
Nimegundua majina ya watu wengi kwenye JF hayakuwezeshi kujua jinsia zao.
 
Nimegundua serikali ya CCM wakiona hawezi kesi wanatumia 'delay tactic.'
 
Nimegundua mtu akikata gogo(ak***ny) polini lazima ageuke kuangalia mzigo wake alioshusha.

jamaa m1 alilia ka mtoto baada ya kugundua kuwa gogo alilo kata halipo mara baada ya kugeuka nyuma kuthaminsha.tsiii
 
nimegundua wafanya biashara wakubwa hutegemea zaidi mikopo kuliko fedha zao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…